NAFASI za Kazi Songea Municipal Council July 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Songea ni mojawapo ya mamlaka za serikali za mitaa zinazopatikana katika Mkoa wa Ruvuma, kusini mwa Tanzania. Manispaa hii ina jukumu la kusimamia maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya wakazi wake kupitia utoaji wa huduma muhimu kama elimu, afya, miundombinu, usafi wa mazingira na ukusanyaji wa mapato. Eneo hili limeendelea kukua kwa kasi kutokana na uwekezaji katika sekta za kilimo, biashara na huduma, huku likiwa kitovu muhimu cha shughuli za kiutawala na biashara kwa Mkoa wa Ruvuma. Manispaa ya Songea pia imekuwa mstari wa mbele katika kutekeleza mipango ya maendeleo ya jamii kupitia ushirikishwaji wa wananchi na mashirika mbalimbali ya maendeleo.
NAFASI za Kazi Songea Municipal Council July 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea amepokea kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, Mkurugnenzi wa Manispaa ya Songea anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa kujaza nafasi hizo kama ifuatavyo
Ili kuweza kusoma nafasi zilizopo, vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO