Nafasi za Kazi Mtendaji Wakijiji III Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa – Posti 20
POST | MTENDAJI WA KIJIJI III. – 20 POST |
EMPLOYER | Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa |
APPLICATION TIMELINE: | 2024-07-20 2024-08-02 |
JOB SUMMARY | NIL |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES |
|
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGS B |
Leave a Reply