Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Nafasi za Kazi Mtendaji Wakijiji III Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama – Posti 5
Ajira

Nafasi za Kazi Mtendaji Wakijiji III Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama – Posti 5

Kisiwa24By Kisiwa24July 20, 2024No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Nafasi za Kazi Mtendaji Wakijiji III Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama – Posti 5

POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 5 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama,
APPLICATION TIMELINE: 2024-07-20 2024-08-02
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
  1. Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji;
  2. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji;
  3. Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji;
  4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji;
  5. Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
  6. Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;
  7. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji;
  8. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji;
  9. Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji;
  10. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
  11. Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji; na
  12. Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B

Apply HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNafasi za Kazi Mtendaji Wakijiji III Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa – Posti 20
Next Article Simba kucheza na El-Qanah mchezo wa kirafiki 22 July 2024
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025779 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025442 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025420 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.