Close Menu
  • Home

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025

1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi

October 15, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Nafasi Za Kazi Tanzania 2025»NAFASI za Kazi Masasi Town Council June 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

NAFASI za Kazi Masasi Town Council June 2025

Kisiwa24By Kisiwa24June 16, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili 2025 kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya katika Ikama na bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025.

NAFASI za Kazi Masasi Town Council June 2025

Hivyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo

MASHARTI YA JUMLA.

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania, wenye umri wa kuanzia miaka18 na usiozidi miaka 45.

ii. Waombaji waambatanishe Cheti cha Kuzaliwa,

ii. Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye Anuani, Namba za Simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wa kuaminika,

iv. Waombaji wote waweke nakala za vyeti vya taaluma na vyeti vya Kidato cha Nne na Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika kwenye Ajira Portal,

v. Testimonials “Provision Results”, “Statement of Results” Hati ya Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita HAVIKUBALIKI,

vi. Waombaji kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa KUAMBATISHA vyeti vya mafunzo ya Udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika

vii. Waombaji wote waweke picha mbili “Passport Size” ya hivi karibuni katika ukurasa wa Ajira Portal,

viii. Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vyao vinahakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika yaani TCU, NECTA na NACTE,

ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi,

x. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka wenye Kumb. Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010,

xi. Uwasilishwaji taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria,

xii. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 29 Juni, 2025,

  • BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNAFASI Mbalimbali za Kazi Zilizotangazwa June 2025
Next Article PDF: Majina Ya Waliochaguliwa JWTZ 2025
Kisiwa24

Related Posts

Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
  • 1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi
  • Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker
  • Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

Recent Comments

  1. E Qambayoya on Orodha ya Maswali ya Usaili Nafasi ya Usimamizi Uchaguzi Mkuu 2025
  2. Kasubi on Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025
  3. Kisiwa24 on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  4. MTIE MOHAMED on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  5. Princepius on Namba za Mabinti Wanaotafuta Wachumba 2025
Demo
Top Posts

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 202566 Views

Maswali ya Interview Ajira za Zimamoto 2025

March 31, 202520 Views

Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Hotelini

July 2, 202515 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Powered by
...
►
Necessary cookies enable essential site features like secure log-ins and consent preference adjustments. They do not store personal data.
None
►
Functional cookies support features like content sharing on social media, collecting feedback, and enabling third-party tools.
None
►
Analytical cookies track visitor interactions, providing insights on metrics like visitor count, bounce rate, and traffic sources.
None
►
Advertisement cookies deliver personalized ads based on your previous visits and analyze the effectiveness of ad campaigns.
None
►
Unclassified cookies are cookies that we are in the process of classifying, together with the providers of individual cookies.
None
Powered by