Nafasi za Kazi – Marketing Assistants and Go Down Staffs at Luckywell Limited March 2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Nafasi za Kazi – Marketing Assistants and Go Down Staffs at Luckywell Limited March 2025

MKOA: DAR ES SALAAM, TANZANIA

QUALIFICATIONS:

  • Mhitimu wa kidato cha nne
  • Lazima ujue kuongea na kuandika Kiingereza na Kiswahili
  • Leseni ya kuendesha gari
  • Lazima kujua jinsi ya kuendesha pikipiki
  • Umri kati ya 20-35
  • Lazima uwe na cheti kutoka kwa kazi ya awali
  • Waamuzi wote lazima wawe Dar es salaam

Soma Hii>>Finance Director at DCB Commercial Bank March 2025

Waombaji wote waje na nyaraka zao (CV, Barua ya Maombi, Leseni ya Udereva, Barua ya Utangulizi kutoka serikali ya mtaa, Vyeti vya Elimu, Cheti cha kuzaliwa, Barua ya Mapendekezo kutoka kwa waamuzi wako) ofisini kwetu, zilizopo MIKOCHENI, MTAA WA NGORONGORO-HOUSE NO. 18.

CV zote zinapokelewa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi

CONTACT: 0679 799 999

ADVERTISEMENT
LUCKYWELL LIMITED
MIKOCHENI, WARIOBA
NGORONGORO ST
HOUSE NO. 18

Leave your thoughts

error: Content is protected !!