Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same amepokea Kibali cha Ajira
Mpya kutoka kwa Katibu Mkuu – ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora kupitia baru ayenye Kumb. Na. FA.228/613/01F/072 ya tarehe
10.03.2025. Hivyo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za
kujaza nafasi tajwa hapo chini.
Leave a Reply