Kisiwa24 BlogKisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
      • O’ Level Notes
        • Form One
        • Form Two
        • Form Three
        • Form Four
      • A’ Level Notes
        • Form 5
        • Form 6
    • Secondary Syllabus
      • Primary Syllabus
      • O’ Level Syllabus
      • A’ Level Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Reading: Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024
Share
Font ResizerAa
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
Font ResizerAa
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
    • Secondary Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
  • Ligi Ya NBC
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
  • Education
  • Technology
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Home » Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024
Makala

Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024

Kisiwa24
Last updated: September 7, 2024 9:08 am
Kisiwa24
Share
SHARE
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024

Contents
Kuhusu Halmashauri ya Wilaya ya GeitaNafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024

Tangazo

Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga

BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU

Kuhusu Halmashauri ya Wilaya ya Geita

Wilaya ya Geita ni moja ya wilaya 5 zinazounda mkoa wa Geita. Ilipata hadhi ya kuwa wilaya mwaka 1962.Kipindi hicho iliitwa Geita province.Wilaya ya Geita ipo kati ya mita 1,100 hadi 1,300 kutoka usawa wa bahari.Pia ipo katika latitudi 208 hadi 3028 kusini mwa mstari wa ikweta na longitudi 32045 na 370 mashariki mwa mstari wa Greenwich.

Kabla ya Uhuru wa Tanzania bara (Tanganyika),wilaya ya Geita ilikuwa na ukubwa wa kilomita za mraba 16,638 ambapo nchi kavu ilikuwa ni kilomita za mraba 10,123.94 na maji ilikuwa ni kilomita za mraba 6,514.06. Katika kipindi hicho Geita ilikuwa na idadi ya watu wapatao 371,407. Mnamo mwaka 1975 wilaya ya Geita iligawanywa na kupata wilaya ya Sengerema.Baada ya kugawanywa kwa wilaya hizi mbili, Wilaya ya Geita ilibaki na kilometa za mraba 7,825 ambapo nchi kavu ni kilometa za mraba 6,775 na maji ni kilometa za mraba 1,050.

Kuimarisha uwezo wa Halmashuri  katika kutoa huduma endelevu  ili kuboresha maisha  ya wananchi na kuondoa umaskini ifikapo mwaka 2025.

Dhamira:

Mnamo mwaka 2013 wilaya ya Geita iligawanywa tena na kupata wilaya ya Nyang’hwale.Wilaya ya Geita ina Halmashauri mbili ambazo ni “Halmashauri ya wilaya ya Geita na Halmashauri ya Mji”.Halmashuri ya Geita ina ukubwa wa kilomita za mraba 5,366.7(4,316 nchi kavu na 1,050 maji).

Dira:

Kutekeleza sera za kitaifa pamoja na miongozo inayoelekeza utawala bora na ushirikishwaji wa wananchi katika kufanya maamuzi katika hatua mbalimbali  ili kujiletea  maendeleo endelevu .

Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024
Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024

Nafasi za kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita Septemba 2024

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 4 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;

ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;

iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;

iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;

v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;

vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;

vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;

viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na

ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS.C

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO

 

POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 2 POST

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

-Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)

-Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)

-Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)

-Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)

-Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji

-Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa

-Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

REMUNERATION TGS C

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO

Mapendekezo ya Mhariri;

1.Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024

2. Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Kada Za Afya Majina Ya Nyongeza

3. Nafasi Mpya 35 Za Kazi Taasisi ya Dar es Salaam Maritime (DMI)

4. Nafasi Mpya 32 za Kazi Kutoka Taasisi Ya Utafiti Wa Misitu Tanzania

5. Nafasi Mpya 15 Za Kazi Halimashauri Ya Manispaa Ya Tabora

6. Tangazo La Kuitwa Kwenye Usahili Kada Ya Afya Septemba 2024

7. Nafasi Mpya 318 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

You Might Also Like

Mfano wa Barua ya Maombi ya Nafasi ya Kujiunga JKT 2025

Mfano Wa Makosa ya Jinai Pamoja na Vifungu Vyake

Bei ya iPhone 16 Pro Tanzania 2025

Kata za Mkoa wa Kilimanjaro

Makato ya Kutoa Pesa kwenye ATM za NMB

Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link Print
What do you think?
Love0
Happy0
Joy0
Sad0
Previous Article Nafasi Mpya 318 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) Septemba 2024 Nafasi Mpya 318 za Kazi Kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) Septemba 2024
Next Article Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Mwalimu Julius K. Nyerere Cha Kilimo Na Teknolojia (MJNUAT) Septemba 2024 Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Mwalimu Julius K. Nyerere Cha Kilimo Na Teknolojia (MJNUAT) Septemba 2024
Leave a review

Leave a Review Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please select a rating!

banner banner
Kwa Matangazo ya Ajira Mpya 2025
Je unatafuta kazi? basi kutazama nafasi mpya za kazi zinazitoka kila siku bonyeza BUTTON hapo chini
Bofya HAPA

Latest News

KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
KIKOSI Cha Simba Sc vs KMC leo 11 May 2025
Michezo
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 - Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi za Kazi Tradesperson 1 – Mechanic at Geita Gold Mining Ltd (GGML) May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi za Kazi Courier at DHL Group May 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025
Msimamo wa ligi kuu ya NBC
Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
Michezo
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Makala
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 20252026 Mkoa wa Kagera
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Kagera
NECTA Form Six Results 2025/2026

You Might also Like

Sababu 12 Zinazokufanya Uwe Maskini
Makala

Sababu 12 Zinazokufanya Uwe Maskini 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read
Jinsi ya Kukopa Salio Airtel
Makala

Jinsi ya Kukopa Salio Airtel

Kisiwa24 Kisiwa24 4 Min Read
Naibu Spika Wa Bunge
Makala

Naibu Spika Wa Bunge la Tanzania

Kisiwa24 Kisiwa24 4 Min Read
Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza
Kampuza za Mabasi na Nauli zakeMakala

Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Mwanza

Kisiwa24 Kisiwa24 9 Min Read
Jinsi ya Kuongeza Damu Mwilini
Makala

Jinsi ya Kuongeza Damu Mwilini

Kisiwa24 Kisiwa24 4 Min Read
Fahamu Vivutio Maarufu na Bora vya Utalii Tanzania
Makala

Fahamu Vivutio Maarufu na Bora vya Utalii Tanzania

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
© 2025 Kisiwa24 Blog All Rights Reserved.
adbanner