Nafasi Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Songea Septemba 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Songea Municipal Council is one of the eight Councils in Ruvuma Region. Songea Municipality is also the District and Regional headquarters. Other Councils are Songea Rural, Namtumbo, Mbinga and Tunduru.
The four corners of the Municipal boundaries border with Songea Rural District and Madaba Council. It has historically been a location where people of the Ngoni tribe came from South Africa and fought indigenous people particularly Ndendeule tribe and settled in Songea because of the fertile land, favourable climatic conditions and continuously being a productive area.
The Ngoni and other surrounding tribes fought the Germans in resisting foreign rule. There are historical sites and pictures which are associated with the Majimaji war. For example, there is a monument having been left behind depicting the clashes that happened in the Region, such as the first prison (Gereza), police post , the German court (Boma), the place where the Ngoni warriors were hanged (Mashujaa) and the mass-grave of the Ngoni.
Songea Municipality enjoys passable roads, has adequate land, reliable water and electricity supply, airport and communication network. Apart from that, the Municipality has abundant labuor supply, health services, good governance as there is peace and tranquility prevailing which creates a favourable environment for both local and foreign investors. Therefore some of the important areas for investments are identified in this profile.
POST MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 1 POST
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
-Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
-Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
-Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
-Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
-Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
-Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
-Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Masjala kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
REMUNERATION TGS C/1
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO
POST MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 3 POST
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
vii.Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; na
ix. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha, wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maeneo 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS C/1
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI YAKO
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Tangazo la Kuitwa Kazini Bunge la Dododma 4-9-2024
2. Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Kada Za Afya Majina Ya Nyongeza
3. Nafasi Mpya 35 Za Kazi Taasisi ya Dar es Salaam Maritime (DMI)
4. Nafasi Mpya 15 Za Kazi Halimashauri Ya Manispaa Ya Tabora
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku