NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo September 2025

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo September 2025

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo September 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Namtumbo anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (05) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

error: Content is protected !!