Close Menu
  • Home

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025

1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi

October 15, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Nafasi Za Kazi Tanzania 2025»NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara June 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara June 2025

Kisiwa24By Kisiwa24June 5, 2025No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imepata idhini ya utekelezaji wa Kibali cha Ajira Mpya chenye Kumb. Na. FA.97/228/01/A/25 cha Tarehe 29 Aprili, 2025 kwa ajili ya kuajiri Mwandishi Mwendesha Ofisi II nafasi 2 na Dereva II nafasi 2 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Hivyo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtwara anawatangazia watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri hiyo, kuomba nafasi za kazi zifuatazo:

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara June 2025

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – NAFASI 2

KAZI/ MAJUKUMU YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri
ii. Kupokea wageni na kuwasili shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine
iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi
v. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika
vi. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika
vii. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali
viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili. Aidha,
wawe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na kupata programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

MSHAHARA

Ngazi ya Mshahara ni TGS C1.

DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 2

KAZI/ MAJUKUMU YA DEREVA

i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
ii. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
iv. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
v. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
vi. Kufanya usafi wa gari; na
vii. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
viii. Pamoja na kazi zingine utakazopangiwa na Mwajiri wako.

SIFA ZA MWOMBAJI

Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka
mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya
Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

MSHAHARA

Ngazi ya Mshahara ni TGS B1

MASHARTI YA JUMLA

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka18 na usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
ii. Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kutuma maombi na wanapaswa kuainisha kwenye Mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi waUmma
iii. Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (DetailCurriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu
zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.
iv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini
(Referees) watatu wa kuaminika;
v. Maombi yote yaambatane na vyeti vya Elimu na Taaluma vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne au Sita kwa wale
waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Diploma/Certificates, – Cheti cha mtihani wa Kidato cha IV na VI, – Computer Certificate, – Vyeti vya Kitaaluma (Professional Certificate from Respective Boards);
vi. “Testmonial“, ‘‘Provisional Results“, “Statement of results“, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
vii. Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
viii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
ix. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xi. Waombaji kazi wa kada ya Dereva II wenye leseni Daraja E au C wanapaswa KUAMBATISHA vyeti vya mafunzo ya Udereva vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika
xii. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 17 Juni, 2025

  • BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNAFASI 10 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba June 2025
Next Article NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya llemela June 2025
Kisiwa24

Related Posts

Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
  • 1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi
  • Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker
  • Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

Recent Comments

  1. E Qambayoya on Orodha ya Maswali ya Usaili Nafasi ya Usimamizi Uchaguzi Mkuu 2025
  2. Kasubi on Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025
  3. Kisiwa24 on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  4. MTIE MOHAMED on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  5. Princepius on Namba za Mabinti Wanaotafuta Wachumba 2025
Demo
Top Posts

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 202571 Views

Maswali ya Interview Ajira za Zimamoto 2025

March 31, 202520 Views

Mfano wa Barua ya Kuomba Kazi Hotelini

July 2, 202515 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Powered by
...
►
Necessary cookies enable essential site features like secure log-ins and consent preference adjustments. They do not store personal data.
None
►
Functional cookies support features like content sharing on social media, collecting feedback, and enabling third-party tools.
None
►
Analytical cookies track visitor interactions, providing insights on metrics like visitor count, bounce rate, and traffic sources.
None
►
Advertisement cookies deliver personalized ads based on your previous visits and analyze the effectiveness of ad campaigns.
None
►
Unclassified cookies are cookies that we are in the process of classifying, together with the providers of individual cookies.
None
Powered by