Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi anawatangazia
Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi nne (04) katika Halmashauri hii
baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo
