Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Masasi anawatangazia watanzania wenye sifa za
kuomba nafasi za kazi Saba (7) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Nafasi za Kazi Halmashauri ya Mji wa Masasi
Bonyeza Hapa Kudownload PDF ya Tangazo
