Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha

December 23, 2025

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

December 21, 2025

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

December 21, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro June 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro June 2025

Kisiwa24By Kisiwa24June 3, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro amepokea kibali cha Ajira mpya kwa ikama ya Mwaka 2024/2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb.Na.FA.97/288/01/A/25 cha tarehe 29/04/2025 na kibali cha Ajira Mbadala
chenye Kumb.Na. FA.228/613/01G/049 cha tarehe 14/04/2025. Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro June 2025

DEREVA DARAJA LA II – NAFASI 11

KAZI NA MAJUKUMU

i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
ii. Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,
iv. Kutunza na kuandika daftari la safari “log book” kwa safari zote,
v. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
vi. Kufanya usafi wa Gari,
vii. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

SIFA ZA MWOMBAJI

Awe amehitimu kidato cha nne (IV) na kupata Cheti cha Mtihani wa Kidato cha Nne (IV). Awe na leseni daraja ‘C’ au “E” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha
magari kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali, Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji Magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Halmashauri ya Manispaa Morogoro, S.L.P 166, 2 Station Road, 67182, Morogoro, Simu/Nukushi Na: +255 023 2935242,Tovuti: www.morogoro.go.tz, Barua Pepe: info@morogoromc.go.tz

NGAZI YA MSHAHARA

Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS – B

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – NAFASI 4

KAZI NA MAJUKUMU

i. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
ii. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
iii. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
iv. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
v. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada (racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
vi. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

SIFA ZA MWOMBAJI

Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji wa kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

NGAZI YA MSHAHARA

Kwa kuzingatia viwango vya mishahara ya Serikali – TGS C

MASHARTI YA JUMLA

i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri wa kuanzia miaka18 na usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe maelezo binafsi yaliyojitosheleza (Detail Curriculum Vitae) yenye anuani inayotumika, namba za simu zinazopatikana na Anuani ya Barua Pepe (E-mail address) pamoja na majina ya wadhamini (Referees) watatu wa kuaminika.
iii. Maombi yote yaambatane na nakala ya vyeti vya Elimu na Taaluma
vilivyothibitishwa na Mwanasheria/Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne/Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo
mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Diploma/Certificates, – Cheti cha Halmashauri ya Manispaa Morogoro, S.L.P 166, 2 Station Road, 67182, Morogoro, Simu/Nukushi Na: +255 023 2935242,Tovuti: www.morogoro.go.tz, Barua Pepe: info@morogoromc.go.tz mtihani wa Kidato cha IV na VI, – Computer Certificate, – Vyeti vya Kitaaluma.
iv. “Testmonial“, ‘‘Provisional Results“, “Statement of results“, hati ya matokeo ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na vimethibitishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).
ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wana kibali kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi.
x. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
xi. Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 11 Juni, 2025.

  • BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNAFASI za Kazi Kilombero Sugar Company Limited June 2025
Next Article NAFASI za Kazi Halmashauri ya Manispaa ya Geita June 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania

December 21, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

December 21, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Yas Tanzania

December 21, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Shule za Sekondari za Advanced (Form 5 & 6) Mkoa wa Arusha
  • NAFASI Za Kazi World Vision Tanzania
  • NAFASI Za Kazi Standard Bank Group
  • NAFASI za Kazi Yas Tanzania
  • Sifa za Kujiunga na Chuo Cha University of Dar es salaam Computing Center (UCC)

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2026

December 21, 20251,931 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025793 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025452 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.