Nafasi za Kazi 6 kutoka MDAs na LGAs January 2025
MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.
Nafasi Iliyopo: AFISA FIZIOTHERAPIA DALAJA LA II (PHYSIOTHERAPY OFFICER II)
Idadi ya Nafasi – 6
Maelezo ya Kazi
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kufanya kazi zote za Mfiziotherapia hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali yakiwemo magonjwa ya watoto, wazee,na wote waliolazwa.
ii. Kuchunguza mgonjwa, kupanga matibabu kulingana na tatizo la mgonjwa na kufuatilia hali ya mgonjwa husika.
iii. Kutoa ushauri wa tiba na rufaa ya mgonjwa kwa kada nyingine za afya kulingana na tatizo la mgonjwa.
iv. Kutoa na kusimamia elimu ya Fiziotherapia, Utengamao na tiba na kuboresha afya ya mwili na viungo katika Wilaya na Mikoa au eneo lake la kazi.
v. Kutoa Ushauri nasaha wa Utengamao kwa wagonjwa katika jamii (CBR).
vi. Kutunza takwimu za wagonjwa wa Fiziotherapia na watu wenye ulemavu na kuzitumia kama ilivyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
vii. Kutathimini huduma za Fiziotherapia na Utengamao katika eneo lake la kazi.
viii. Kusimamia na kuelekeza watumishi walio chini yake.
ix. Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za Fiziotherapia katika eneo la kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya Fiziotherapia (BSc. in Physiotherapy) kutoka Vyuo Vikuu Vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza “Internship” na kupata usajili (Full Registration) kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika.
REMUNERATION TGHS C
Mwisho wa kutuma maombi ni 20 /01/2025
Kumbuka maombi yote ya kazi yanatakiwa kutumwa kupitia Tovuti ya Ajira Portal, kama hujafungua akaunti ya Ajria Portal unaweza kufungua sasa kwa kubonyeza HAPA