Nafasi za Kazi 475 kutoka MDAs na LGAs January 2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Nafasi za Kazi 475 kutoka MDAs na LGAs January 2025

MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.

Ili kutuma mombi yako tafadhari bonyeza kwenye kila linki ya nafasi ya kazi hapa chini

1. Mhandisi Vifaa Tiba Daraja La II

2. Afisa Fiziotherapia Dalaja La II

3. Fiziotherapia Daraja La II

4. Daktari Wa Upasuaji Wa Kinywa Na Meno II

5. Tabibu Wa Kinywa Na Meno Daraja La II

6. Tabibu Msaidizi II

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 January 2025

Maombi yote ya ajira yanapaswa kufanywa kupitia tovuti rasmi ya Ajira Portal kama hujafungua akaunti Ajira portal unaweza kufungua sasa kwa kubonyeza HAPA

Leave your thoughts

Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 19 Mei, 2025 hadi tarehe 20 Mei, 2025 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Aidha, ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika. Waombaji waliofaulu usaili
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingata muda na eneo la usaili. Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. MATOKEO Ya Usaili Wa Vitendo Uliofanyika Tarehe 01/08/2025 Ili kuweza kusoma matokeo haya tafadhari bonyeza kwenye kila linki ya PDF hapo chini CONSERVATION RANGER III – DRIVER (1) CONSERVATION RANGER III – OFFICE MANAGEMENT SECRETARY CONSERVATION RANGER
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni taasisi ya serikali ya Tanzania iliyoanzishwa kwa lengo la kuratibu na kusimamia mchakato wa ajira katika taasisi mbalimbali za umma. Sekretarieti hii inafanya kazi chini ya Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ikiwa na jukumu kuu la kuhakikisha kuwa ajira zinazotolewa serikalini zinafuata misingi ya uwazi,
Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Tanzania (St John’s University of Tanzania – SJUT) ni chuo kikuu binafsi kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana Tanzania. Kimeanzishwa kwa lengo la kutoa elimu ya juu yenye msingi wa maadili, maono na huduma kwa jamii. Kiko katika mji wa Dodoma, katikati ya Tanzania, na kinatoa programu mbalimbali kuanzia shahada za kwanza hadi za juu
error: Content is protected !!