Nafasi za Kazi 2 kutoka MDAs na LGAs January 2025
MDAs and LGAs are key elements of the nation’s governance system, each with distinct responsibilities. MDAs are federal government agencies assigned with the responsibility of formulating and implementing policies, laws, and regulations in various sectors such as health, education, agriculture, and transport. These ministries and agencies deliver public services across the country and are headed by ministers or appointed directors.
Nafasi Iliyopo: MHANDISI VIFAA TIBA DARAJA LA II (BIOMEDICAL ENGINEER II)
Idadi ya Nafasi – 2 POST
Maelezo ya Kazi
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kufanya kazi za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya Wilaya (Electronical Equipments).
ii.Kutunza kumbukumbu za kazi za ufundi na matengenezo ya vifaa tiba.
iii.Kufanya matengenezo ya kinga ya vifaa tiba.
iv.Kuagiza vipuli vya vifaa tiba.
v.Kuandaa bajeti ya huduma za matengenezo ya vifaa tiba ngazi ya wilaya.
vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa waliohitimu wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi (Vifaa Tiba) kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi Tanzania.
REMUNERATION TGHS D
Mwisho wa kutuma maombi ni 20 Januari 2025.
Kumbuka Maombi yote nafanyika kupitia tovuti ya Ajira Portal, kama bado hujafungua akaunti Ajira Portal fungua sasa kwa kubonyeza HAPA.