Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru Agosti 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (Tengeru Institute of Community Development-TICD) awali ilijulikana kama Chuo cha Maendeleo ya Jamii (Community Development Training Institute- CDTI Tengeru).
Taasisi hii ipo mkoani Arusha, wilaya ya Arumeru nje kidogo ya jiji la Arusha ikiwa ni kilometa 13 kutokea mjini Arusha, kando ya barabara ya Moshi-Arusha.
Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru ni mojawapo ya taasisi kongwe za elimu za Serikali iliyoanzishwa mwaka 1961.
Wataalam wa maendeleo na afya, waliofuzu kutoka katika taasisi hii walitumika kuhamasisha na kutoa mafunzo ya maendeleo kwa wananchi.
CDTI-Tengeru kilipata fursa ya kutoa mafunzo kwa wataalam hao waliotambuliwa kwa jina maarufu Ma-bibi/bwana maendeleo na afya kuanzia mwaka 1963 hadi mwaka 1967, ambapo baada ya hapo, mafunzo hayo yalihamishiwa katika chuo cha Uongozi wa Maendeleo Mzumbe.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru Agosti 2024
ili kutuma maombi yako tafadhari bonyeza linki hapo chini ili kusoma maelezo na jinsi ya kutuma maombi yako mapema iwezekanavyo;
EXAMINATIONS OFFICER II (SPECIAL NEEDS – BRAILLE/SIGN LANGUAGE) – 1 POST
ASSISTANT LECTURER (COMMUNICATION SKILLS) – 1 POST
MACHAGUZI YA MHARIRI;
1. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Agosti 2024 (UDOM)
2. Nafasi Mpya Za Kazi Wizara ya Maji Agosti 2024
3. Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
4. Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Agosti 2024
5. Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma Agosti 2024
6. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Wilaya Ya Tunduru Agosti 2024
7. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu Agosti 2024
8. Nafasi Mpya 17 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa