Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa Novemba 2024
Ajira

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa Novemba 2024

Kisiwa24By Kisiwa24November 20, 2024No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Nafasi Mpya Za Kazi Halmashauri Ya Manispaa Ya Iringa Novemba 2024

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuomba nafasi ya kazi iliyotajwa hapo chini, baada ya kupokea kibali chenye Kumb Na. FA. 170/363/01A/116 cha tarehe 25 Septemba, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya UtumishiwaUmmanaUtawalaBora.

MHUDUMUWAJIKONIDARAJAII-(NAFASI 4)

MAJUKUMUYAKAZI

  • Kusafishavyombovya kupikia;
  • Kusafishavyombovyakulia chakula;
  • Kusafishasehemuyakulia chakula;
  • KuwatayarishiaWapishi/Waandazi vifaavya kazi;
  • Kusafishamaeneoya kupikia.

SIFAZAKUAJIRIWA

  • AweamehitimuElimuyaKidatochaNne(IV)
  • Mwenye cheti cha mafunzo ya mwaka mmoja ya Uhudumu wa Jikoni kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali

NGAZIYAMSHAHARA

  • Ngazi ya mshahara ni TGOSA

MASHARTIYAJUMLAKWAWAOMBAJI

  • Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa wale tu walioko kazini Serikalini;
  • Waombaji wenyeulemavu wanahamasishwa kutu mamaombi na wanapaswa kuainisha kwenye mfumo wa kuombea ajira ulemavu walionao kwa ajili ya taarifa kwa

SekretarietiyaAjirakatikaUtumishiwa Umma;

  • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa na Mwanasheria/ Wakili;
  • Waombaji ambaotayarini watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
  • Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
  • Maombi yote yaambatane na cheti cha taaluma, maelezo, nakala za vyeti vilivyothibitishwa na Mwanasheria/ Wakili ambavyo ni vyeti vya Kidato cha Nne na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Uhudumu wa jikoni.

Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA na NACTE).

Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuombai sipokuwa kama wana kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.

Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.

Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuli wahatua za kisheria.

Muhimu: Kumbuka kuambatisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu

Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (RecruitmentPortal) kupitia anuani ifuatayo; https://portal.ajira.go.tz/ (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovutiya Sektretarieti ya Ajirak wakuingia sehemu iliyoandikwa‘ Recruitment Portal’).

Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe02/12/2024.

Mapendekezo Ya Mhariri;

1. Nafasi Mpya 36 Za Kazi Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) Novemba 2024

2. Nafasi Mpya 34 Za Kazi Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC)

3. Nafasi Mpya 40 za Kazi Kampuni ya Angela Peace and Love 

4. Nafasi Mpya 99 Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Umma Novemba 2024

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNafasi Mpya 36 Za Kazi Shirika la Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) Novemba 2024
Next Article Majina Walioitwa Kwenye Usaili Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (Mocu) Novemba 2024
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025443 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025441 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.