Nafasi Mpya za Kazi Ajira Portal, Utumishi na Serikalini 2025, Nafasi za Kazi Utumishi, nafasi za kazi Ajira Portal, Nafasi za kazi zilizotangazwa leo,wiki hii na mwezi huu kutoka serikalini, Utumishi na Ajira portal, Habari kama wewe ni miongoni mwa wanaotafuta kazi kutoka serikalini basi makala hii itaangazia nafasi mpya za kazi zinazotangazwa na serikali kila siku kupitia tovuti ya Utumishi na ile ya Ajira Portal.
Kuhusu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali na hadhi ya Idara ya kujitegemea iliyoanzishwa hasa ili kuwezesha mchakato wa kuajiri wa wafanyakazi katika taasisi mbalimbali za Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa na Sheria ya Utumishi wa Umma ya Nambari ya 8 0 ya 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria ya Nambari ya 18 ya 2007, kifungu cha 29 ((1).
Maono ya Sekretarieti ya Ajira
- Kuwa kituo cha ubora katika huduma ya umma kuajiri katika kanda.
Kazi Kuu za Sekretarieti ya Ajira (PSRS)
Kufanya kuajiri watumishi wa umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia kanuni za usawa, uwazi na sifa na pia kutoa ushauri kwa waajiri juu ya maswala yanayohusiana na ajira.
Kazi Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
- Kuajiri wafanyakazi kwenye taasisi za Umma,Jukumu kuu la PSRS ni kuwezesha kuajiri katika Huduma ya Umma.
- Kutafuta wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa database kwa wataalamu hao kwa ajili ya kuajiri rahisi;
- Kurejista wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya urahisi wa rejea ya kujaza nafasi tupu;
- Kutangaza nafasi za kazi zinazotokea katika huduma ya umma;
- Kuhusisha wataalam husika kwa madhumuni ya kufanya mahojiano
- Kushauri waajiri juu ya masuala mbalimbali yanayohusiana na kuajiri, na
- Kufanya kitendo kingine chochote au kitu ambacho kinaweza kuelekezwa na Waziri anayehusika na Huduma ya Umma.
Maadili ya Msingi Sekretarieti ya Ajira
Thamani za msingi za PSRS ni msingi ya utendaji wa kazi na mwenendo katika kukabiliana na mabadiliko katika jamii, serikali, siasa, na teknolojia.
- Kufuatilia ubora katika utoaji wa huduma.
- Ushikamanifu kwa Serikali.
- Kufanya kazi kwa bidii.
- Uadilifu.
- Fadhili kwa wote.
- Kuheshimu sheria
- Matumizi sahihi ya taarifa rasmi
Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Ajira Portal, Utumishi na Serikalini 2025
Hapa chini ni matangazo ya kazi kutoka serikalini kupitia Utumishi na Ajira portal ili kuweza kufungua matangazo haya ya ajira tafadhari bonyeza kwenye kichwa cha tangazo kulingana na muda lilipotolewa.
Nafasi za Kazi kutoka Ajira Portal,Utumishi na Serikalini January 2025
Nafasi za Kazi kutoka Ajira Portal,Utumishi na Serikalini Desemba 2024
- ANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBE 28-12-2024
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAFIA 28-12-2024
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWIRI) 28-12-2024
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MAMLAKA YA USIMAMIZI WANYAMAPORI TANZANIA (TAWA) 28-12-2024
- TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 23-12-2024
Nafasi za Kazi kutoka Ajira Portal,Utumishi na Serikarini November 2024
Linapo kuja swala la wapi sehemu salama ya kupata matangazo sahihi ya Ajira basi Ajira portal na Utumishi ndio sehemu sahihi. Kama wewe ni moja ya mamia wanaofikilia kupata kazi serikalini basi ni vyema ukatembelea ukwasa huu mara kwa mara ili uweze kupata matangazo mapya ya ajira zilizo tangazwa leo, wiki hii na mwezi huu,
Makala hii ipo kwa lengo la kukupa updates za ajira mpya 2025, kutoka serikalini, utumishi na Ajira portal
Njinsi ya Kujisajiri na Mfumo wa Ajira Portal
Nafasi nyingi za kazi zitolewazo na utumishi huwataka waombaji kutuma maombi kupitia tovuti ya Ajira Portal hivyo basi kwa mwombaji mpya lazima upitie baadhi ya hatua ili kuweza kutuma maombi yako
Hapa chini ni mwongozo mfupi wa namna ya kujiunga na mfumo wa jara portal na kuweza kutuma maombi ya ajira
1. Ingia kwenye mfumo wa ajira portal kupitia tovuti rasimi ya Ajira portal https://portal.ajira.go.tz/
2. Ukiwa kwenye ukrasa wa mbele wa Ajira Portal nenda palipoandikwa REGISTER
3. Ingiza Barua pepe na Nywira yako kisha bonyeza Register, utapokea ujumbe kwenye barua pepe uliyojisajili nayo fuata maelekezo.
4. Baada ya kuactivate akaunti yako, jaza taarifa muhimu kama vile
- Personal Details
- Academic Qualifications
- Professional Qualifications
- Language Proficiency
- Working Experience
- Training & Workshop
- Computer Literacy
- Referees
- Other Attachments
- Declaration
Njinsi ya Kutuma Maombi
Baada ya kujaza taarifa zote kwa umakini na usahihi sasa utakua na uwezo wa kuweza kutuma moambi ya kazi kutokana na matangazo yaliyotolewa kwenye mfumo wa Ajira Portala kutoka utumishi na serikalini.
1. Ingia kwneye akaunti yako ya Ajira Portal kisha bonyeza palipoandikwa ” vacancies”
2. Kisha tafuta tangazo la kazi linaloendana na taaluma yako na bonyeza
3. Soma na uwelewe maangizo na mahitaji ya tangazo husika la kazi
4. Kisha bonyeza “Apply”
Ajira zote hizi kutoka Ajira Portal,serikalini na Utumishi unaweza kutuma maombi yake kupitia tovuti rasmi ya Ajira Portal kupitia linki Ajira Portal (https://portal.ajira.go.tz/)