Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Chuo Kikuu cha Mzumbe ni chuo kikuu cha umma kinachopatikana Mzumbe, wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro, Tanzania. Chuo kikuu cha Mzumbe kilianzishwa rasmi mwaka 2001.
Taaluma
Chuo kikuu cha Mzumbe kinatoa taaluma katika ngazi mbalimbali za elimu kwenye maeneo yafuatayo
– Shule ya Biashara
– Shule ya menejimentin na Utawala
– Kitivo cha Sheria
– Kitivo cha Sayansi Jamii
– Kitivo cha Sayansi na Teknolojia
– Taasisi ya Masomo ya Maendeleo
– Kurugenzi ya Utafiti, Machapisho na Shahada za juu
Kusoma nafasi hizi za kazi bonyeza na kutuma maombi bonyeza linki hapo chini
1. TUTORIAL ASSISTANT (APPLIED STATISTICS) – 2 POST
2. ASSISTANT LECTURER (IMPLEMENTATION SCIENCE) – 2 POST
3. ASSISTANT LECTURER (EPIDEMIOLOGY AND BIOSTATISTICS)(RE-ADVERTISED) – 1 POST