Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu Agosti 2024
Ajira

Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu Agosti 2024

Kisiwa24By Kisiwa24August 18, 2024No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu Agosti 2024

Mkurugenzi wa Mji Kasulu amepokea kibali cha ajira mpya kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora chenye Kumbu Na. FA.228/613/01/C/021 cha tarehe 25 Juni, 2024. Hivyo watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi
zifuatazo;

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (NAFASI 2)

MAJUKUMU YA KAZI

i. Kuchapa barua, taarifa au nyaraka za kawaida na za siri.
ii. Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza
kusaidiwa .
iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miradi, tarehe za vikao, safari
za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine.
iv. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika Utekelezaji wa majukumu
ya kazi
v. Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa walio katika
Idara/Vitengo/Sehemu husika.
vi. Kukusanya, Kutunza na Kuyarejesha Majalada na nyaraka sehemu
zinazohusika.
vii. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali.
viii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.

SIFA ZA MWOMBAJI

  • Kuajiriwa mhitimu wa Kidato cha IV au kidato cha VI wenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA level 6 ya Uhazili kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 100 kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powerpoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

NGAZI YA MSHAHARA

Kwa kuzingatia ngazi ya Mishahara ya Serikali ni, TGS C.

Download PDF HAPA

Mapendekezo ya mhariri:

1. Jinsi Ya Kuangalia Salio La NSSF Kwa Njia ya Simu

2. Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv 

3. Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI

4. Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Njia ya SMS

5. Jinsi Ya Kuangalia Deni La Gari 2024 (TMS Traffic Check)

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNafasi Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Elimu Agosti 2024
Next Article Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Wilaya Ya Tunduru Agosti 2024
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025439 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025416 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.