Nafasi Mpya 15 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Kufuatia idhini ya utekelezaji wa ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kwa kibali chenye Kumb. Na. Kumb. Na. FA. 97/288/01/09 cha tarehe 25-06-2024, kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anawatangazia Watanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi za kazi tajwa hapo chini kujisajili na kutuma maombi yao kwa njia ya mfumo wa Ajira Portal. Nafasi za kazi zinazotangazwa ni hizi zifuatazo:-
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – NAFASI 6
KAZI NA MAJUKUMU
i. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
ii. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
iii. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
iv. Kupokea majalada kwa Watendaji (action officers)
v. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
vi. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada (racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
vii. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)
SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa mhitimu wa Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI), aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya utunzaji kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.
S.L.P 1126, Chamwino – Dodoma, Simu: (026) 2321449, Nukushi:(026) 2961510, Barua pepe:[email protected]
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya mishahara ya Serikali – TGS C
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD TANGAZO LOTE PDF
SOMA PIA;
1. Nafasi Mpya 10 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
2. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
3. Nafasi Mpya 17 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa
4. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Agosti 2024
5. Nafasi Mpya Za Kazi Wizara ya Maji Agosti 2024
6. Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
7. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Wilaya Ya Tunduru
8. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu
9. Tangazo La Nafasi Za Kazi Taasisi Mbalimbali Za Elimu
10. Nafasi Mpya 13 za Kazi Kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)