Nafasi Mpya 10 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
POST MTENDAJI WA KIJIJI III – 10 POST
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
APPLICATION TIMELINE: 2024-08-11 2024-08-24
JOB SUMMARY NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
1. Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji;
2. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika kijiji;
3. Kuratibu na kusimamia upangaji wa mipango ya maendeleo ya kijiji;
4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya kijiji;
5. Kutafsiri na Kusimamia Sera, Sheria na Taratibu;
6. Kuandaa taarifa ya utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umaskini na kuongeza uzalishaji mali;
7. Kiongozi wa wakuu wa vitengo vya klitaalam katika kijiji;
9. Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji;
10. Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji;
11. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi;
12. Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za kijiji; na Atawajibika kwa Mtendaji Mkuu wa Kata.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa mwenye Elimu ya kidato cha Nne(IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS B
MACHAGUZI YA MHARIRI;
1. Nafasi Mpya za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma Agosti 2024 (UDOM)
2. Nafasi Mpya Za Kazi Wizara ya Maji Agosti 2024
3. Nafasi Mpya 4 Za Kazi Kutoka Chuo kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
4.Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Mzumbe Agosti 2024
5. Tangazo La Kuitwa Kazini Taasisi Mbalimbali Za Umma Agosti 2024
6. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Wilaya Ya Tunduru Agosti 2024
7. Nafasi Mpya 18 Za Kazi Kutoka Halmashauri Ya Mji Kasulu Agosti 2024
8. Nafasi Mpya 17 Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Mji Kondoa