NAFASI 56 za Kazi Dobi Daraja la II MDAs & LGAs
POST | DOBI DARAJA LA II. – 56 POST |
EMPLOYER | MDAs & LGAs |
APPLICATION TIMELINE: | 2025-06-13 2025-06-26 |
JOB SUMMARY | NA |
DUTIES AND RESPONSIBILITIES | •Kufanya uchambuzi wa nguo kwa ajili ya kuosha, kukausha, kunyoosha na kuzifungasha. |
QUALIFICATION AND EXPERIENCE | Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya miaka miwili au mitatu katika fani ya Dobi (Laundry Services) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali. |
REMUNERATION | TGHS B |
Leave a Reply