NAFASI 5 za Kazi World Vision July 2025
World Vision ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalojihusisha na misaada ya kibinadamu, maendeleo ya jamii, na utetezi wa haki za watoto. Shirika hili lilianzishwa mwaka 1950 na linatoa huduma katika zaidi ya nchi 90 duniani, ikiwemo Tanzania. Lengo kuu la World Vision ni kuboresha maisha ya watoto, familia, na jamii maskini kupitia miradi ya elimu, afya, maji safi na salama, pamoja na lishe bora. Shirika hili hufanya kazi kwa kushirikiana na jamii husika ili kuhakikisha suluhisho endelevu na la muda mrefu linalotatua changamoto za kimaendeleo.
Katika Tanzania, World Vision imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia jamii vijijini kwa kuwajengea miundombinu ya maji, shule, na vituo vya afya. Pia wanatekeleza programu za kuwawezesha wazazi na vijana kupitia elimu ya fedha, kilimo bora, na miradi ya biashara ndogo. Kwa kushirikiana na serikali na wadau wengine wa maendeleo, World Vision inaimarisha huduma za kijamii na kuhimiza usawa wa kijinsia, hasa kwa kuhakikisha watoto wa kike wanapata haki sawa za elimu. Shirika hili linaamini kwamba kila mtoto anastahili maisha yenye afya, elimu, na fursa ya kufikia ndoto zake.
NAFASI 5 za Kazi World Vision July 2025
Ili kuweza kusoma vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki ya kila nafasi ya kazi hapo chini
I am very interested to work with your organisation
I am interested to work with your organisation, shall I get internship opportunity?