Nafasi 5 za Kazi Kutoka AB InBev January 2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Nafasi 5 za Kazi Kutoka AB InBev January 2025

Dreaming big is part of who we are as a company—it’s ingrained in our culture, history, and vision for the future. We constantly strive to move forward, creating innovative ways to embrace life’s opportunities and challenges. Our commitment to thinking bigger drives us to seek passionate, talented, and curious individuals. We empower them with strong teammates, ample resources, and opportunities to achieve their full potential. Together, our combined strengths are unstoppable. Are you ready to join a team that dreams as boldly as you?

Anheuser-Busch InBev SA/NV, commonly called AB InBev, is a Belgian multinational brewing company headquartered in Leuven, Belgium. It is the world’s largest brewer, with around 630 beer brands sold in 150 countries. AB InBev also operates a global functional management office in New York City and regional headquarters in São Paulo, London, St. Louis, Mexico City, Bremen, Johannesburg, and more. The company was established when InBev acquired the U.S.-based Anheuser-Busch. AB InBev is a publicly traded company, with its primary listing on Euronext Brussels and secondary listings on the stock exchanges in Mexico City, Johannesburg, and New York.

Nafasi 5 za Kazi Kutoka AB InBev January 2025

Nafasi za Kazi Kutoka AB InBev January 2025

Ili kusoma maelezo ya kazi na jinsi ya kutuma maombi tafadhari bonyeza kwenye kila linki ya aina ya kazi hapo chini;

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Nafasi za Kazi Kutoka Exim Bank January 2025

2. Nafasi za Kazi 475 kutoka MDAs na LGAs January 2025

3. Nafasi za Kazi Kutoka Ubongo January 2025

4. Nafasi za Kazi Kutoka Ubarozi wa Swiden Dar es Salaam January 2025

Leave your thoughts

Chuo Kikuu cha Mtakatifu John cha Tanzania (St John’s University of Tanzania – SJUT) ni chuo kikuu binafsi kinachomilikiwa na Kanisa la Anglikana Tanzania. Kimeanzishwa kwa lengo la kutoa elimu ya juu yenye msingi wa maadili, maono na huduma kwa jamii. Kiko katika mji wa Dodoma, katikati ya Tanzania, na kinatoa programu mbalimbali kuanzia shahada za kwanza hadi za juu
Smiles Dental Clinic ni kliniki ya kisasa ya meno inayotoa huduma bora kwa wagonjwa wa rika zote. Kliniki hii imejipatia sifa kwa kutumia vifaa vya kisasa na teknolojia ya hali ya juu katika kutibu matatizo mbalimbali ya meno kama vile kung’oa, kusafisha, kuweka dawa, na kufunga braces. Madaktari wake ni wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika fani ya afya ya kinywa
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2025 na tarehe 05-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi
Angalia Majina ya Walioitwa Kazini Kupitia UTUMISHI – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) 2025 Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali chenye hadhi ya Idara Huru kilichoanzishwa mahsusi kurahisisha mchakato wa ajira kwa watumishi wa umma. Sekretarieti hii ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002
error: Content is protected !!