NAFASI 30 za Kazi Mchumi Daraja la II MDAs & LGAs – UTUMISHI

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

NAFASI 30 za Kazi Mchumi Daraja la II MDAs & LGAs

NAFASI 30 za Kazi Mchumi Daraja la II MDAs & LGAs

POST; MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST II) – 30 POST

EMPLOYER; MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE: 2025-06-13 2025-06-26

JOB SUMMARY; NIL

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuhudumia kamati mbalimbali za Bunge(Kamati za mahesabu ya Serikali,Kamati ya mahesabu ya mashirika ya Umma);

ii. Kukusanya takwimu na taarifa mbali mbali za kiuchumi kwa ajili ya uchambuzi na uandaaji wa sera na mipango ya kiuchumi na kijamii;

iii. Kufanya utafiti na uchambuzi wa sera na vigezo vya kiuchumi jumla;

iv. Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika;

v. Kukusanya taarifa na takwimu zinazohitaji kakati kakubainisha vipaumbele vya ustawi na maendeleo ya jamii; na

vi. Kutayarisha na kusambaza takwimu na taarifa za kiuchumi kwa wadau.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fanizifuatazo; Uchumi(Economics), Sayansi ya Uchumi Kilimo (BSc. Agriculture Economics &Agribusness) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION TGS.D

Leave your thoughts

error: Content is protected !!