NAFASI 2O za Kazi College of Business Education (CBE) July 2025
Chuo cha Elimu ya Biashara (College of Business Education – CBE) ni taasisi ya elimu ya juu nchini Tanzania inayotoa mafunzo ya kitaaluma katika nyanja za biashara, uhasibu, usimamizi wa rasilimali watu, TEHAMA, na sheria za biashara. CBE ilianzishwa mwaka 1965 kwa madhumuni ya kuwajengea Watanzania uwezo wa kitaaluma na kiutendaji katika sekta ya biashara na uchumi. Chuo hiki kina kampasi katika miji ya Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya, hivyo kurahisisha upatikanaji wa elimu bora kwa wanafunzi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Mbali na kutoa stashahada na shahada, CBE pia hutoa mafunzo ya muda mfupi na kozi za juu za kitaaluma ili kukidhi mahitaji ya soko la ajira. Chuo kinatambuliwa rasmi na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTVET). Vifaa vya kisasa vya kujifunzia, walimu wenye uzoefu, na ushirikiano na taasisi mbalimbali za kimataifa vinakifanya CBE kuwa chuo chenye ushindani na ubora katika elimu ya biashara hapa nchini.
NAFASI 20 za Kazi College of Business Education (CBE) July 2025
Ili kuweza kusoma nafasi zilizopo, vigezo na njia ya kutuma maombi tafadhari bonyeza linki hapo chini;
- ASSISTANT LECTURER- ACCOUNTANCY. – 5 POST
- ASSISTANT LECTURER – TOURISM. – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER – MARKETING. – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT ENGINEERING (INDUSTRIAL ENGINEERING) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (TRANSPORT AND LOGISTICS MANAGEMENT) – 2 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (LAW) – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER –DIGITAL SIGNAL PROCESSING – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER (BUSINESS ADMINISTRATION) – 1 POST
- ASSISTANT LECTURER (TRANSPORT AND LOGISTICS MANAGEMENT) – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER (EDUCATION – COMMERCE) – 2 POST
- ASSISTANT LECTURER (RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT) – 1 POST
- TUTORIAL ASSISTANT (RECORDS AND ARCHIVES MANAGEMENT) – 1 POST