TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

NAFASI 150 za Kazi Mwalimu Daraja la III Hisabati (Mathematics) MDAs & LGAs

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 14, 2025 0 Comments

NAFASI 150 za Kazi  Mwalimu Daraja la III  Hisabati (Mathematics) MDAs & LGAs

NAFASI 150 za Kazi Mwalimu Daraja la III Hisabati (Mathematics) MDAs & LGAs

POST; MWALIMU DARAJA LA III B – HISABATI (MATHEMATICS) – 150 POST
EMPLOYER; MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:2025-06-13 2025-06-26
JOB SUMMARY;N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa;

ii.Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia;

iii.Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi;

iv.Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani;

v.Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi;

vi.Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu;

vii.Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule; na

viii.Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Hisabati kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

REMUNERATION TGTS-C

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!