Mwongozo wa Bei Za Magodoro ya GSM Tanzania, Bei Za Magodoro ya GSM, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kuangazia bei hari za magodoro ya GSM nchini Tanzania. Kama unafikiria kununua magodoro toka kampuni ya GSM basi ni muhimu pi kujua bei harisi ya magodoro ya GSM kwa ukubwa tofauti tofauti.
GSM ni miongoni mwa kampuni kubwa na maarufu zaidi nchi Tanzania kutokana na ubora wa bidhaa zake. Magodoro ya GSM ni moja tu miongoni mwa bidhaa zinazo tengenezwa na kuuzwa na kampuni ya GSM.
Mwongozo wa Bei Za Magodoro ya GSM Tanzania
Kampuni ya GSM inatengeneza magodoro yenye ubora wa hari yajuu kitu ambacho kinapelekea kua magodoro pendwa zaidi kwa matumizi ya watu walio wengi zaidi Nchini Tanzania.
Aina ya Magodoro ya GSM
Magodoro ya GSM hutengenezwa kwa ukubwa tofauti tofauti kama vile
- Magodoro ya Ukubwa wa 6×6
- Magodoro ya Ukubwa wa 5×6
- Magodoro ya Ukubwa wa 4×6
- Magodoro ya Ukubwa wa 3×6
Bei Za Magodoro ya GSM
Hapa chini tutaenda kuangalia bei ya magodoro ya GSM kulingana na ukubwa wake
Magodoro ya Ukubwa wa 6×6
Hapa chini tunaenda kukuwekea jedwali litakalokupa mwongozo wa bei ya magodoro ya GSM ya ukubwa wa 6×6 kwa kuzingatua unene wa godoro
Magodoro ya Ukubwa 6×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro |
1 | 6 | 250,000 |
2 | 8 | 390,000 |
3 | 10 | 450,000 |
4 | 12 | 520,000 |
Magodoro ya Ukubwa wa 5×6
Hapa tuanenda kukuwekea jedwali litakaloonyesha bei ya magodoro ya GSM kwa ukubwa wa 5×6 size tofauti tofauti
Magodoro ya Ukubwa 5×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro |
1 | 6 | 160,000 |
2 | 8 | 180,000 |
3 | 10 | 280,000 |
4 | 12 | 340,000 |
Magodoro ya Ukubwa wa 4×6
Hapa tuenda kukuwekea mwongozo wa bei ya magodoro ya GSM kwa ukubwa wa 4×6 kwa kuzingatia size mbali mbali
Magodoro ya Ukubwa 4×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro |
1 | 6 | 130,000 |
2 | 8 | 170,000 |
Magodoro ya Ukubwa wa 3×6
Na size ya mwisho ya godoro zinazotengenezwa na kampuni ya GSM ni godoro zenye ukubwa wa 3×6, hapa chini tutakuwekea bei ya magodoro ya GSM 3×6 KWA SIZE TOFAUTI TOFAUTI
Magodoro ya Ukubwa 5×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro |
1 | 6 | TSh 90,000 |
Kama Tulivyokwisha kusema kampuni ya GSM ni moja ya kampuni kubwa zaidi nchini Tanzania kutokana na ubora wa bidhaa zake. Bidhaa ya magodoro ya GSM ni moja ya bidhaa pendwa zaidi kwa watumiaji wake na kampuni ya GMS huzalisha magodoro ya ukubwa tofauti tofauti. Ni matumaini yetu kua mwongozo huu wa bei ya magodoro ya GSM utakua umekupa mwangaza kuhusu bei za magodoro y a kampuni hiyo.
Mapendekezo ya Mhariri;
Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko
Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki