Mwongozo wa Bei ya Vipande vya UTT AMIS, Thamani ya vipnde vya UTT AMIS, Habari kama unafikilia kuweza kujiunga na mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS basi cha kwanza kufikilia ni bei ya vipande vya uwekezaji vinavyotolewa na mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS.
Hapa katika makala hii tutaenda kuangazia bei ya kila kipande cha uwekezaji kinachopatikana katika mifuko ya UTT AMIS. kwa kuzingatia bei ya kununua na bei ya kuuza kila kipande.
Mifuko ya Uwekezaji Inayotolewa na UTT AMIS
Kuna aina kuu sita za mifuko ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya uwekezaji ya UTT AMIS. Mifuko hiyo ni pamoja na;
- Umoja Fund
- Wekeza Maisha Fund
- Watoto Fund
- Jikimu Fund
- Liquid Fund
- Bond Fund
Mwongozo wa Bei ya Vipande vya UTT AMIS,
Hapa chini tutaenda kuangali thamani ya kila kipande katika mfuko husika
Mfuko wa Umoja Fund
Hapa chini tutaneda kuangalia taarifa kamili za mfuko wa Umoja Fund mfuko uliokua wa kwaza kuweza kuanzishwa na mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 368, 619, 339, 392.6250 |
2 | Outstanding Number of Units | 337, 384, 369.9378 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 1,092.5798 |
4 | Sale Price Per Unit | 1,092.5798 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 1,081.6540 |
Mfuko wa Wekeza Maisha Fund
Mfuko wa wekeza maisha ulikua ni mfuko wa pili kwenye miongo ya uanzishwaji wa mifuko iliyoko kwenye kampuni ya UTT AMIS, Hapa tutaenda kuangalia jeduwari lenye kuonyesha thama ya mfuko huu ndani ya UTT AMIS.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 18, 984, 033, 691.2349 |
2 | Outstanding Number of Units | 19, 601, 282.2080 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 968.5098 |
4 | Sale Price Per Unit | 968.5098 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 949.1396 |
Mfuko wa Watoto Fund
Mfuko huu wa watoto Fund ni mfuko uliokua umeanzishwa katika awamu ya 3 ya mfurulizo wa uwanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji katika mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS. Mfuko huu ulianzishwa kwa uwekezaji wa Watoto hadi umri wa miaka 18.
Hapa chini tutaenda kutazama thamani ya mfuko huu ndani ya mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 23, 894, 844, 571.9033 |
2 | Outstanding Number of Units | 33, 492, 579.7529 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 713.4370 |
4 | Sale Price Per Unit | 713.4370 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 706.3026 |
Mfuko wa Jikimu Fund
Baada ya kuanzishwa kwa mfuko wa Watoto Fund, mfuko uliofuata kuzinduliwa chini ya mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS ulikua ni mfuko wa Jikimu Fund ulikua ni mfukowa 4 kuanzishwa kwenye orodha ya mifuko inayopatikana kwenye UTT AMIS.
Hapa chini tunaenda kukupa mwongozo wa thamani ya vipande kwenye mfuko wa Jikimu Fund.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 32, 143, 792, 291.4539 |
2 | Outstanding Number of Units | 175, 467, 397.9908 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 183.1895 |
4 | Sale Price Per Unit | 183.1895 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 179.5258 |
Mfuko wa Liquid Fund
Mfuko wa Liquid Fund ulikua ni mfuko wa 5 kwenye mfururizo wa uanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji iliyoko kwenye mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS.Hapa chini tuanaenda kuangazia bei ya thamani ya vipande vya mfuko wa Liquid Fund.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 32, 143, 792, 291.4539 |
2 | Outstanding Number of Units | 175, 467, 397.9908 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 183.1895 |
4 | Sale Price Per Unit | 183.1895 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 179.5258 |
Mfuko wa Bond Fund
Huu ndio ulikua mfuko wa mwisho hadi sasa kuweza kuzinduliwa katika mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS, Katika orodha ya uwanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji huu ulikua mfuko wa 5 kuanzishwa. Hapa tutaenda kuangalia thamani ya vipande katika mfuko wa Bond Fund.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 761, 673, 000, 500.6591 |
2 | Outstanding Number of Units | 6, 381, 027, 074.5991 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 119.3653 |
4 | Sale Price Per Unit | 119.3653 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 119.3653 |
Thamani kwa kila mfuko hapo juu inaweza kubadilika kila wakati, ili kweza kupata taarifa za mabadiliko hayo ni vyema ukatembelea tovuti rasmi ya UTT AMIS
Njinsi ya Kufanya uwekezaji Kwenye Mfuko wa UTT AMIS
Kunanjia kuu 2 za kufanya uwekezaji kwenye mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS baada ya kujisajili na kufungua akaunti yako kwa kuchagua mfuko unaotaka kuwekeza. Njia hizo ni pamoja na
– Uwekezaji kwa njia mitandao ya simu kama vile
- M-Pesa
- Tigo Pesa
- Airtel Money
- T-Pesa
- HaloPesa
– Uwekezaji kwa njia ya Huduma za Kibenki
- NMB
- CRDB
- STANBIC
Kwa taarifa zaidi kuhusu njia za ununuaji wa vipande vya uwekezaji kwenye mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS bonyeza HAPA
Mawasiliano ya UTT AMIS
Kwa taarifa zaidi unaweza wasiliana na ofisi ya UTT AMIS kwa mawasiliano yafuatayo
Dar es Salaam
P.O. Box 14852, DSM
Ghorofa la pili (2) Jengo la Sukari,
Mtaa wa Sokoine na Ohio,
Phone: +255 22 2122501 ,
Fax: +255 22 2137593
Mapendekezo ya mhariri
Jinsi ya Kununua Vipande Vya Uwekezaji Vya UTT AMIS
Aina za Vipande Vya Mfuko wa Uwekezaji wa UTT AMIS
Jinsi ya Kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji Wa UTT AMIS