Mwongozo wa Bei Ya Magodoro ya Dodoma 2025,Bei ya magodoro ya Dodoma,Karibu katika makala hi fupi itakayoenda kuangazia bei mpya za magodoro ya Dodoma.Unapozungumzia kampuni bora za utengenezaji wa bidhaa za majumbani hasa magodoro huwezi kuacha kugusia kampuni inayotengeneza magodoro ya Dodoma.
Kama unahitaji kujiunga na familia inayotumia magodoro ya Dodoma basi hapa utapata mwongozo wa bei kulingana na ukubwa na size mbalimbali za magodoro ya Dodoma.
Mwongozo wa Bei Ya Magodoro ya Dodoma 2025
Hapa chini tunaenda kukuwekea majedwali ya bei za magodoro ya dodoma kulingana na ukubwa na size za magodoro hayo;
1. Magodoro ya Ukubwa 5×6
Hapa ni bei ya magodoro ya Dodoma ya ukubwa wa 5×6 kwa size tofauti tofauti
Magodoro ya Ukubwa 5×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro (Tsh) |
1 | 6 | 180,000 |
2 | 8 | 240,000 |
3 | 10 | 280,000 |
4 | 12 | 340,000 |
2. Magodoro ya Ukubwa 6×6
Hapa chini ni mwongozo wa bei ya magodoro ya Dodoma ya ukubwa wa 6×6 kwa sizi tofauti tofauti
Magodoro ya Ukubwa 6×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro |
1 | 6 | 230,000 |
2 | 8 | 280,000 |
3 | 10 | 330,000 |
4 | 12 | 390,000 |
Magodoro ya Dodoma ndio chapa maarufu zaidi ya magodoro nchini Tanzania hii ni kutokana na ubora wake na uimara wake kwa watumiaji. Ni nagodoro pendwa zaidi kuliko chapa nyingine yoyote ile.
Mapendekezo ya Mhariri
Mwongozo wa Bei Ya Magodoro ya Comfy 2025