Mwongozo wa Bei Za Magodoro ya Comfy 2025, Bei Za Magodoro ya Comfy, Habari karibu katika makala hii fupi amabyo kwa kina itaenda kuangazia bei ya magodoro ya Comfy nchini Tanzania. Ukizungumzia magodoro au kampuni zinazotengeneza magodoro bora zaidi nchini Tanzania huwezi acha yazungumzia magodoro ya Comfy.
Mwongozo wa Bei Ya Magodoro ya Comfy 2025
Magodoro ya Comfy ni miongoni mwa magodoro bora zaidi na pendwa zaidi nchini Tanzania kutokana na ubora wake na kwa watumiaji wake.
Aina ya Magodoro ya Comfy
Magodoro ya Comfy hutengenezwa katika ubora wa aina 2 amabyo ni magodoro ya Grade 1 na magodoro ya Garde 2. Hapa tutaangazia aina ya magodoro yanayotengenezwa kwa chapa ya Comfya kulingana na ukubwa.
- Magodoro ya Ukubwa wa 6×6
- Magodoro ya Ukubwa wa 5×6
- Magodoro ya Ukubwa wa 4×6
- Magodoro ya Ukubwa wa 3×6
Bei Ya Magodoro ya Comfy
Hapa chini tunaenda kuangazia bei ya magodoro ya Comfy nchini Tanzania
1. Magodoro ya Comfy Grade 1
Magodoro ya Comfy kwa upande wa Grade 1 kutengenezwa kwa ukubwa wa aina 2, ukubwa wa 6×6 na 5×6
A) Magodoro ya Ukubwa wa 5×6
Hapa chini ni bei ya magodoro ya Comfy kenye ukubwa 5×6 kwa nch 6,8,10,na 12 kwa magodoro ya Grade 1
Magodoro ya Ukubwa 5×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro (Tsh) |
1 | 6 | 180,000 |
2 | 8 | 240,000 |
3 | 10 | 280,000 |
4 | 12 | 350,000 |
B) Magodoro ya Ukubwa wa 6×6
Embu tutizame bei ya magodoro ya Comfy ukubwa wa 6×6 kwa upande wa Grade 1 kupitia jedwari hapa chini
Magodoro ya Ukubwa 6×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro |
1 | 6 | 230,000 |
2 | 8 | 280,000 |
3 | 10 | 330,000 |
4 | 12 | 390,000 |
2. Magodoro ya Comfy Grade 2
Magodor ya Comfy pia huzalishwa kwa grade 2, hapa chini tutaenda kuangalia bei za magodoro ya Comfy ya grade 2 kwa ukubwa size tofauti tofauti
A) Magodoro ya Ukubwa wa 5×6
Hapa chini ni jedwari la bei ya magodoro ya kwa Ukubwa wa 5×6 nch tofauti tofauti
Magodoro ya Ukubwa 6×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro (Tsh) |
1 | 6 | 180,000 |
2 | 8 | 240,000 |
3 | 10 | 280,000 |
4 | 12 | 340,000 |
B) Magodoro ya Ukubwa wa 6×6
Hapa chini tutaenda kutazama bei ya magodoro ya Comfy kwa ukubwa wa 6×6 kwa Nchi tofauti tofauti kwa garde 2
Magodoro ya Ukubwa 6×6 | ||
namaba | size | Bei ya Godoro (Tsh) |
1 | 6 | 180,000 |
2 | 8 | 240,000 |
3 | 10 | 280,000 |
4 | 12 | 340,000 |
Mapendekezo ya Mhariri;
Mwongozo wa Bei Za Magodoro ya GSM 2025
Jinsi ya Kuandika Barua ya Kirafiki ya Kutoa Mwaliko
Jinsi ya Kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji Wa UTT AMIS
Jinsi Ya Kurudisha Channel Zilizopotea Kwenye Kisimbizi Cha Azam TV