Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025, Laliga standing 2024, msimamo wa ligi ya Laliga msimu wa 2024,2025, Tazama msimamo wa ligi ya Spain 2024/2025
Habari mfuatiliaji wa ligi ya spain ya Laliga, katika makala hii tutaenda kuangali juu la msimamo wa ligi ya Spain Laliga kwa msimu wa 2024/2025
Kuhusu Ligi ya Laliga
Hii ni moja ya ligi pendwa zaidi duniani na Afrika ukiacha ligi ya uingereza ligi hii imekusanya umaarufu wake kwa kua na klabu zenye wachezaji wenye uwezo wa hali ya juu na pedwa zaidi, klabu kama vile
Barcelona, Real Madrid, Atlético de Madrid na Villarreal CF ni miongo ni mwa timu zinazofanya vizuri katika ligi ya Spain na kua na wafuasi wengi zaidi ulimwenguni kote.

Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025
Msimamo wa Ligi Ya Spain Laliga 2024/2025
Hapa tunaenda kutazama msimamo wa ligi ya Spain kwa msimu huu wa 2024/2025
Klabu | MP | U | D | L | GF | GA | GD | Pts |
Barcelona F.C. | 35 | 26 | 4 | 5 | 95 | 36 | 59 | 82 |
Real Madrid | 35 | 23 | 6 | 6 | 72 | 37 | 35 | 75 |
Atlético Madrid | 35 | 20 | 10 | 5 | 60 | 27 | 33 | 70 |
Athletic Bilbao | 34 | 16 | 13 | 5 | 50 | 26 | 24 | 61 |
Klabu ya Villarreal | 35 | 17 | 10 | 8 | 61 | 47 | 14 | 61 |
Real Betis | 34 | 16 | 9 | 9 | 52 | 42 | 10 | 57 |
Celta de Vigo | 35 | 14 | 7 | 14 | 55 | 54 | 1 | 49 |
Rayo Vallecano | 35 | 12 | 11 | 12 | 37 | 42 | -5 | 47 |
Mallorca | 35 | 13 | 8 | 14 | 33 | 40 | -7 | 47 |
Valencia CF | 35 | 11 | 12 | 12 | 43 | 51 | -8 | 45 |
Osasuna | 34 | 10 | 14 | 10 | 42 | 50 | -8 | 44 |
Real Sociedad | 35 | 12 | 7 | 16 | 32 | 41 | -9 | 43 |
Getafe CF | 35 | 10 | 9 | 16 | 31 | 34 | -3 | 39 |
RCD Espanyol | 35 | 10 | 9 | 16 | 38 | 47 | -9 | 39 |
Girona | 35 | 10 | 8 | 17 | 41 | 53 | -12 | 38 |
Sevilla FC | 35 | 9 | 11 | 15 | 39 | 49 | -10 | 38 |
Alavés | 34 | 8 | 11 | 15 | 35 | 46 | -11 | 35 |
CD Leganés | 35 | 7 | 13 | 15 | 35 | 53 | -18 | 34 |
Las Palmas | 35 | 8 | 8 | 19 | 40 | 57 | -17 | 32 |
Real Valladolid | 35 | 4 | 4 | 27 | 26 | 85 | -59 | 16 |
Kama unvyoona msimamo wa ligi ya Spain Laliga unavykwenda,klabu ya Barcelona inaendelea kuongoza msimamo huo kwa kua na jumla ya point 82 ikifuatiwa na klabu ya Real Madrid yenye pointi 75 hadi sasa kufikia sasa. Kumesalia na michezo 5 tu ili kumalizika kwa ligi kuu ya Sain (Laliga) kwa msimu wa 2024/2025.
Timu Zinazoshiriki Katika Ligi ya Spain Laliga 2024/2025
Timu zinazoshiriki katika ligi ya Spain Laliga ni timu 20
- Barcelona
- Real Madrid
- Atlético Madrid
- Villarreal
- Osasuna
- Real Betis
- Athletic Club
- Mallorca
- Celta Vigo
- Rayo Vallecano
- Real Sociedad
- Girona
- Sevilla
- Leganes
- Alavés
- Las Palmas
- Getafe
- Espanyol
- Valladolid
- Valencia
Msimamo Wa Ligi Ya Spain – Laliga Msimu Wa 2023/2024
Msimamo wa ligi ya Laliga ya mchini spain ulimalizika huku klabu ya Real Madrid ikichukua ubingwa kwa kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 95 huku maasimu wao Fc Barcelona ikishika nafasi ya 2 kwa kujikusanyia point 85 huku katika nafasi ya 3 ikishikiliwa na Girona iliyo maliza kwa kujikusanyia point 81
Timu Zilizoshuka Daraja ilikua ni Granada CF iliyo maliza msimu katika nafasi ya 20 ikiwa na jumla ya pointi 21, UD Almería ikiwa katika nafasi ya 19 kwa pointi 21 na Cadiz iliyomaliza katika nafasi ya 18 ikiwa na pointi 33.