Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza (EPL Standing) 2025/2026

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2025/2026, EPL standing 2025/2026, msimamo wa EPL 2025/2026, Habari ya wakati huu mwana soka wa Kisiwa24, karibu katika makala hii ambayo itaenda kukuonyesha msimamo wa ligikuu ya Uingereza almaarufu kama Epl ( English Premier Leuge standing) kwa msimu wa 2025/2026.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mpira wa miguu na shabiki wa ligi kuu ya uingereza basi katika makala hii utaweza kuona msimamo mzima wa ligi unavyokwenda nani anaongoza ligi na timu gani zipo kwenye nafasi ya tatu bora pia timu zipi zipo katika nafasi tatu za mwisho

Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza (EPL Standing) 2025/2026

Hapa chini ni msimamo kamili wa ligi kuu ya Uingereza kwa msimu wa 2025/2026,
TeamTeam P GD Pts
1 Manchester City 1 +4 3
2 Sunderland 1 +3 3
3 Tottenham Hotspur 1 +3 3
4 Liverpool 1 +2 3
5 Nottingham Forest 1 +2 3
6 Arsenal 1 +1 3
7 Brighton and Hove Albion 1 0 1
8 Fulham 1 0 1
9 Aston Villa 1 0 1
10 Chelsea 1 0 1
11 Crystal Palace 1 0 1
12 Newcastle United 1 0 1
13 Everton 0 0 0
14 Leeds United 0 0 0
15 Manchester United 1 -1 0
16 Bournemouth 1 -2 0
17 Brentford 1 -2 0
18 Burnley 1 -3 0
19 West Ham United 1 -3 0
20 Wolverhampton Wanderers

Kufuzu na Kushuka Daraja

  1. Timu zitakazo maliza ligi katika nafasi ya 1 hadi ya 4 zitafuzu kwenda kucheza katika michuano ya ligi ya mabingwa ulaya (UEFA Champion League) msimu ujao.
  2. Kwa timu itakay maliza katika nafasi ya 5 itaenda kushiriki michua no ya ligi ya Europa katika hatua ya makundi
  3. Na timu zitakazo maliza ligi katika nafasi ya 18 hadi 20 zitashuka daraja.

Kuhusu Ligi kuu ya Uingereza ( Epl)

English Premier League (EPL) ilianzishwa mwaka 1992, na tangu wakati huo imekuwa ikionyesha kiwango cha juu cha soka na ushindani mkubwa. EPL imekuwa ikiwavutia wachezaji bora zaidi kutoka sehemu mbalimbali za dunia, na kufanya ligi hii kuwa kitovu cha soka la kimataifa. Vilabu kama Manchester United, Chelsea, Liverpool, na Arsenal vimejijengea umaarufu mkubwa kwa kutwaa mataji mengi na kushiriki mashindano ya kimataifa kama UEFA Champions League.

Timu Zinazoshiriki Ligi Kuu Ya Uingereza (Epl)

Kwenye ligi kuu ya Uingereza kunajula ya klabu 20, ambazo ni

  • Man City
  • Sunderland
  • Tottenham
  • Liverpool
  • Brighton
  • Fulham
  • Aston Villa
  • Newcastle
  • Arsenal
  • Brentford
  • Chelsea
  • Crystal Palace
  • Everton
  • Leeds United
  • Man United
  • Nottm Forest
  • Bournemouth
  • Burnley
  • West Ham
  • Wolves

Uchambuzi na Matarajio ya EPL 2025/26

a) Msimamo wa Vivo (Live Standings)

  • Tovuti kama Sports Mole, Daily Futbol, Tribuna, na GiveMeSport zinatoa jedwali zinazorudiwanisha kila tuzo za kila wiki, lakini bado hakuna data ya alama halisi ya msimu huu

b) Makisio ya Kompyuta (Predictions)

  • Opta inaona Liverpool watashinda tena, Arsenal darajani ya pili, ikifuatiwa na Manchester City na Chelsea katika nafasi za juu

  • Alan Shearer anatoa tabiri: Liverpool wanasalia mabingwa, Arsenal watakuwa wa pili, Man Utd hatua 6 baada ya uongezaji mkubwa wa wachezaji; Leeds, Burnley, na Sunderland wana hatari ya kushuka daraja

Leave your thoughts

error: Content is protected !!