Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025, Msimamo wa Kundi la Tanzania (Taifa Stars) kufudhu AFCON 2025, Nafasi ya Tanzania kwenye kundi H kufudhu AFCON 2025
Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufudhu AFCON 2025
Habari mwanamchezo wa Habarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongozo wa kundi H kwenye michuano ya Afrika kuwania kufudhu michuano ya AFCON itakayofanyika mwaka 2025, hapa tuenda kuangazia msimamo wa kundi H na nafasi ya Tanzania kwenye kufudhu kucheza michuano ya AFCON 2025.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Timu Zinazounda Kundi H
Kunajumla ya timu nnr zinazounda kundi H kaka michuano ya kuawania kufudhu kucheza AFCON 2025, Tanzania ikiwemo ni miungoni mwa timu hizo;
- Dr Congo
- Guinea
- Tanzania
- Ethiopia
Michezo Iliyochezwa Katika Kundi H
Kila timu itacheza jumla ya mechi 6 ilkiwa michgezo 3 ya ugenini na michezo 3 ya nyumbani. Kwa Tanzania imecheza michezo 5 ikishinda michezo 2, kudro mchezo 1 na kupoteza michezo 2 ikiwa na jumla ya pointi 7.
Msimamo wa Kundi H La Tanzania Kufundhu AFCON 2025
Hapa chini ni msimamo wa kundi H ambapo timu ya Taifa ya Tanzania ipo
- Dr Congo – anajumla ya pointi 12
- Tanzania – anajimla ya pointi 10
- Guinea – anajumla ya pointi 9
- Ethiopia – anajumla ya pointi 1
Kundi hadi sasa kila timu imecheza michezo 5, kundi linaongozwa na DR Congo ikiwa na jumla ya poiti 12, Tanzania iko katika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 7 huku nafasi ya mwinsho ikiwa imeshikiliwa na Ethiopia.
Nafasi ya Tanzania Kwneye Kundi H Kufudhu AFCON 2025
Tanzania japo ya kua katika nafasi ya 3 lakini bado inamatumaini ya kufidhu kucheza AFCON 2025 endapo itatumia vizuri uwanja wake wa nyumbani kwa amchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi akicheza dhidi ya Guinea siku ya Jumanne 19 Novemba 2024.
Taifa stars inahitaji pointi 3 za muhimu katika mchezo huu ili kuweza kufudhu kwenda kucheza AFCON 2025, kama Taifa stars itashinda mchezo wake wa mwisho itamaliza katika kundo H kiwa katika naasi ya 2 kwa kua na pointi 10 pointi moja mbele ya Guinea.
Mapendekezo Ya Mhariri:
1, Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024
2, Msimamo wa Ligi ya Italia Serie A 2024
3, Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza EPL 2024