Msimamo Wa Kundi C CAF Champions League 2024/2025
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Msimamo Wa Kundi C CAF Champions League 2024/2025, Habari mwanasoka wa Habarika24, karibu kwa mara nyingine tena katika makala hii fupi ya kimichezo ambayo itaenda kukuonyesha juu ya msimamowa wa kundi C katika michuano ya Ligi ya mabingwa barani Afrika.
Kama tunavyojua kua shirikishio la soka barani Afrika limesha chezesha droo ya makundi katika michuano ya klabu bingwa Afrika na kupanga makundi, hivyo basi hapa tutaenda kuangalia msimamo unavyokwenda katika kundi C.
Msimamo Wa Kundi C CAF Champions League 2024/2025
Timu zinazojenga Kundi C
Baada ya shurikisho la soka barani Afrika kuchezesha droo ya hatua ya makundi kwa michuano ya klabu bingwa barani Afrika, makundi manne yaliweza kuundwa kwa kila kundi kua na idadi ya timu nne na hapa chini ni timu zinazo unda kundi C.
- Al Ahly SC (Egypt)
- CR Belouizdad (Algeria)
- Orlando Pirates (South Africa)
- Stade d’Abidjan (Ivory Coast)

Msimamo Wa Kundi C CAF Champions League 2024/2025
Hapa chini ni msimamo wa kundi C katika michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya droo ya makundi kuchezeshwa na michuano kuanza
Hitimisho
Ikiwa wewe ni mfuatiliaji wa michuano ya klabu bingwa Afrika hasa msimu huu wa 2024/2025 embu tupe maoni yako juu ya kundi hili ni timu gani unadhani itamaliza katika nafasi ya kwanza na timu zipi zitaenda kufuvu katika hatua inayo futa?
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku