
Afrika Mashariki inacheza soka kali katika CHAN 2025, inayoandaliwa na nchi tatu: Tanzania, Kenya na Uganda mnamo Agosti 2–30, 2025. Katika mfuko wa kundi B, Tanzania imejipanga na timu za Madagascar, Mauritania, Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)
Hii inatoa fursa ya kipekee kwa Taifa Stars kuonyesha ukuaji wa soka la ndani mbele ya mashabiki wa nyumbani.
Muundo wa Kundi B – Timu Zilizopo
-
Tanzania (mwenyeji)
-
Madagascar
-
Mauritania
-
Burkina Faso
-
Central African Republic (CAR)
Ratiba ya Mechi Kundi B
Mechi zote za kundi B zitachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwenye ratiba ifuatayo:
-
Agosti 2 – Tanzania vs Burkina Faso (mchezo wa ufunguzi)
-
Agosti 3 – Madagascar vs Mauritania
-
Agosti 6 – Burkina Faso vs CAR na Mauritania vs Tanzania
-
Agosti 9 – CAR vs Mauritania na Tanzania vs Madagascar
-
Agosti 12 – Madagascar vs CAR na Mauritania vs Burkina Faso
-
Agosti 16 – Burkina Faso vs Madagascar na CAR vs Tanzania
Msimamo wa Kundi B la Tanzania CHAN 2025
Hapa chini ni msimomo wa kudi B kundi la Tanzania kwenye mashindano ya CHAN kwa msimu wa 2024/2025
Pos | Team | GP | W | D | L | GF | GA | GD | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Tanzania | 1 | 1 | 0 | 0 | 2 | 0 | 0 | 3 |
2 | Madagascar | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
3 | Mauritania | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
4 | Central African Republic | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
5 | Burkina Faso | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | -2 | 0 |