Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
Michezo

Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025

Kisiwa24By Kisiwa24December 7, 2024No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025, Msimamo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika , Hapa tutaenda kutazama msimamo wa kundi A katika michuanao ya klabu bingwa Afrika (CAF Champions League)

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Kama wewe ni shabiki wa timu yoyote ile iliyoko kwenye kundi A katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika msimu wa 2024/2025, basi ni muhimu kutazama msimamo wa kuni hili ili kufahamu nafasi ya timu yako katika kufuzu hatua hii ya makundi

Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025

Timu Zinazpunda Kundi A

Katika kundi  A kunajumla ya timu 4 ambazo zitacheza michezo isyopungua 6 huku michezo 3 ikichezwa ugenini kwa kila timu na michezo mingine 3 ikichezwa nyumbani kwa kila timu, Hapa chini ndio timu zinazounda kundi A.

  • TP Mazembe (DR Congo)
  • Yanga (Tanzania)
  • Al Hilal SC (Sudan)
  • MC Alger (Algeria)
Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025

Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025

Hapa chini ni msimamo wa kundi A kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa mwaka 2024/2025

1. Al Hill –  ponti 9

2. MC Alger – ponti 4

3. Yanga SC – pointi 4

4. TP Mazembe – pointi 2

Nafasi ya Yanga kwenye Msimamo wa Kundi A Klabu Bingwa Afrika

Hadi sasa klabu ya Yanga ya Tanzania imesha cheza michezo 4,imeshinda mchezo 1, imedroo mchezo 1, na kupoteza michezo 2

  1. Yanga vs Al Hilal Sudani Matokeo ( 0 -1)
  2. MC Alger Vs Yanga, Matokeo (2 -0)
  3. TP Mazembe vs Yanga, Matokeo (1-1)
  4. Yanga vs TP Mazembe Matokeo (3-1

Kwenye msimamo wa kundi A hadi sasa klabu ya Yanga inajumla ya pointi 0 ikiwa katika nafasi ya 4. Yanga imebakiwa na michezo 4, huku michezo 2 ikiwa ni ya ugenini na michezo 2 ya nyumbani.

Hitimisho

Timu zote hapo juu ni bora katika nyanja tofauti tofauti sasa upi mtaamo wako juu ya msimamo wa kundi hili na unadhani ni timu gani itakayoshika nafasi ya kwanza na kufuvu kwenye hatua inayofuata?

Embu tuandikie maoni yako kwenye uwanja wa komenti hapo chini

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 

3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025

5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card 

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNafasi Mpya za Kazi ya Mikataba Kwa Kada Za Afya December 2024
Next Article Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025439 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025415 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.