Msimamo wa Kudi D Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 2024/2025
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
Msimamo wa Kudi D Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 2024/2025, Karibu tena katika makala hii fupi ya kimichezo mwanamichezo wa Habarika24, Hapa tutaenda kukuonyesha msimamo wa kundi D katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.
Ikiwa wewe ni miongoni mwa wafuatiliaji wa michuano hii ya CAF Champions League msimu wa 2024/2025 basi ni muhimu pia kufahamu msimamo unavyokwenda kwenye kila kundi na ndio maana tukaamua kukuletea makala hii itayokunyesha msimamo wa kudi D.
Msimamo wa Kudi D Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 2024/2025
Timu Zinazotengeneza Kundi D
Baada ya shirikisho la mpira wa miguu barani Afrka kukamirisha zoezi la kuchezesha droo ya kupanga makundi, makundi manne yaliweza kutengenezwa huku kila kundi likiwa na idadi ya timu nne likiwemo kundi D, Hapa chini ni timu nne zinazo unda kundi D katika michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya makundi.
- ES Tunis (Tunisia)
- Pyramids FC (Egypt)
- GD Sagrada Esperance (Angola)
- Djoliba AC (Mali)

Msimamo wa Kudi D Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 2024/2025
Hivyo bvasi hapa chini tutaenda kuangalia mwenendo wa kundi D kupitia msimamo wa kundi hilo;
Hitimisho
Ukiwa kama mpenzi wa mashindano haya ya klabu bingwa Afrika hasa kwa msimu huu wa 2024/2025 upi ni mtazamo wako kwenye kundi hili D, unadhani ni timu ipi itaongoa kundi na timu zipi zitafaniukiwa kufuvu kwenda katika hatua inayofuta?
Embu andika komenti yako katika uwanja wa komenti ili kutoa mtazamo wako juu ya kundi hili.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba ya Mechi za Yanga Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
2. Ratiba ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
3. Kundi la Yanga SC Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
4. Makundi ya Klabu Bingwa Africa Msimu wa 2024/2025
5. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira kupitia N Card
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku