Mshahara Wa Mwalimu wa Shule Ya Msingi
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Mshahara Wa Mwalimu wa Shule Ya Msingi, Habari ya wakati huu mwana Habarika24, Karibu tena katika makala hii fupi itakayoweza kukupa ufafanuzi wa wa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi.Kama wewe ni mwalimu wa shule ya msingi au unatarajia kuajiliwa na serikali kama mwalimu wa shule ya msingi basi makala hii ni muhimu sana kwa upande wako.
Viwango vya Mshahara wa Mwalimu wa Shule ya Msingi
Mgawanyo wa mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi hupangwa na kugawanywa kwa kuzingatia mambo mbali mbali kma vile ngazi za au daraja tofauti tofauti TGTS ambapo daraja hizi zimegawanywa katika makundi makuu manne;
- TGTS B1
- TGTS C1
- TGTS D1
- TGTS E1
Hivyo basi wewe kama mwalimu au mdau wa elimu kwa shule ya msingi ni muhimu sana kwako kuweza kufahamu juu ya mishahara ya walimu wa shule za msingi katika madaraja tofauti tofauti na kufahamu mambo yanayopelekea utofauti wa mishahara kwa walimu wa shule za msingi.

Mshahara Wa Mwalimu wa Shule Ya Msingi
Mshahara wa walimu wa shule za msingi tunaweza kuuchambua kwa kuugawa katika makundi makuu manne kutokana na muda amabao mwalimu ameweza kutumikia akiwa kazini, ambayo ni ;
- Mshahara wa kuaniza
- Mshahara Kwa Walimu Yenye Uzoefu wa Miaka 5 Katika utumishi
- Mshahara Kwa Walimu Yenye Uzoefu wa zaidi ya Miaka 5 Katika utumishi
Hapa chini tunaenda kukuonyesha kiwango cha mishahara kwa kila aina ya mtumishi kama tulivyosema hapo juu
1. Mshahara wa Kuanzia kwa Mwalimu wa Shule ya Msingi
Hapa tunaenda kuangalia kiwango cha mshahara kwa walimu wa shule ya msingi ambao ndio wananza kazi kama walimu;
TGTS B1
Mshahara wa Kuanzia ni Tsh 419,000
TGTS C1
Mshahara wa kuanzia ni Tsh 530,000
TGTS D1
Mshahara wa kuanzia ni Tsh 716,000
TGTS E1
Mshahara wa Kuanzia ni Tsh 940,000
2. Mshahara Kwa Walimu Yenye Uzoefu wa Miaka 5 Katika utumishi
Hapa tuatenda kuangazia viwango vya mishahara ya walimu ambao wapo katika utumishi wa kazi yao kwa miaka mitano;
TGTS B2
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 489,000
TGTS C2
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 603,000
TGTS D2
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 788,000
TGTS E2
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 1,066,000
3. Mshahara Kwa Walimu Yenye Uzoefu wa zaidi ya Miaka 5 Katika utumishi
Katika kategoria hii itaangazi viwango vya mishahara kwa walimu wa shule za misingi ambao wapo kazi kwa miaka mingi ya ni wanauzoefu wa kazi zao kwa zaidi ya miaka kumi na kuendelea;
TGTS F1
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 1,235,000
TGTS G1
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 1,600,000
TGTS H1
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 2,091,000
TGTS I1
Mshahara wa kila mwezi ni Tsh 2,810,000
Mambo yanayopelekea Utofauti wa Viwango Vya Mishahara kwa Walimu Wa Shule Za Msingi
Kuna mambo kadha wa kadha ambayo kwa kiasi kikubwa hupelekea kuwepo kwa tofauti ya mishahara kwa walimu wa shule za misingi. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na;
- Kiwango cha elimu ya mwalimu
- Uzoefu katika kazi ya uwalimu
- Ufanisi wa mwalimu katika kazi
- Mazingira ya utendaji kazi ya mwalimu
Hitimisho;
Hivyo basi kama tulivyoona hapo juu mgawanyo wa viwangi vya mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi hutofautiana kutoka mwalimu mmoja hadi mwingine kutikana na sababu mbali mbali, Hata hivyo tunaamini ya kua kama wewe ni mwalimu kuajiliwa serikalini ni jambo la msingi na linaupa nusalama kazi yako.
Tunatumaini ya kua uchanguzi huu wa viwango vya mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi itakua imekusaidia kwa kiasi kikubwa sana, Asante kwa kuungana nasi hai mwisho wa makala hii.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ada, Fomu, Kozi na Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Utalii Dar es Salaam
3. Bei ya iPhone 16 Pro Max Tanzania 2024
4. Bei ya iPhone 16 ProTanzania 2024
5. Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
6. EWURA Bei Mpya za Mafuta Tanzania 2024
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku