Mpangilio Wa Vituo Na Tarehe Ya Usaili Wa Vitendo Kada Ya Dereva Daraja La II May 2025
Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wa kada ya Dereva II wanapaswa kuzingatia vituo na tarehe ya kuafanya usaili kama ilivyoainishwa kwenye viambatisho hapo chini.