Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Michezo»Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi?
Michezo

Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi?

Kisiwa24By Kisiwa24February 1, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger leo 01/02/2025 Saa Ngapi?

Kama ni miongoni mwa watu wanaojiuliza kuhusu juu ya saa ngapi mechi ya Yanga na Kagera Sugar itacheza wakati gani siku ya Jumamosi, basi hapa katika kurasa hii utaenda kukupa mwongozo kamili wa mchezo huu wa kiporo ligi kuu ya NBC 2024/2025.

Baada ya kusimama kwa ligi kuu ya NBC weekend hii itarejea tena kwa kuanza na mechi za viporo vya mzunguko wa kwanza. Siku ya Jumamosi ya tarehe 02/02/2025 klabu ya Yanga watakua wenyeji dhidi ya Kagera Sugar mchezo utakaofanyika katika viunga vya mwenge jijini Dar es Salaam katika uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 za jioni.

Kipengele Maelezo
Timu Zinazocheza Yanga vs Kagera Sugar
Tarehe 02 February 2025
Muda Saa 10: 00 jioni
Uwanja Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam
Mashindano NBC Premier League
Matangazo @azamtvsports

Tathimi ya Mchezo

Klabu ya Yanga inaingia uwanjani siku ya jumamosi ikiwa imetolewa kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika, nguvu na jitihada za wachezaji wa klabu hiyo zinaelekezwa katika michezo ya ligi kuu ya NBC huku akiitaji kutete ubingwa wake. Hadi sasa Yanga ipo kwenye nafasi ya 2 ikiwa na jumla ya pointi 39 pointi moja nyuma ya klabu ya wekundu wa msimbazi Simba SC.

Mchezo uliopita uliofanyika

kwenye mchezo wa kwanza uliofanyikia Agost 29, 2025, mkoani Kangera Yanga iliibuka na ushindi wa goli 2 kwa sifuri, mchezo huu wa leo ni mchezo wa kutamatisha mechi ya mzunguko wa kwanza kabla ya kuanza kwa mzunguko wa 2 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimu wa 2024/2025.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mechi hii, unaweza kutembelea Azam TV Sports kwa matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kitaalamu.

Mapendekezo ya Mhariri;

1. Vituo Vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga Vs Kagera Suger 01/02/2025

2. Viingilio Mechi ya Yanga vs Kagera Suger 01 February 2025

3. Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?

4. Ligi Bora Africa 2025

5. Tazama Hapa Makundi ya AFCON 2025 

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleGharama na Usajili wa Vodabima AfyaPass Tanzania 2025
Next Article Kikosi cha Yanga vs Kagera Sugar leo 01/02/2025
Kisiwa24

Related Posts

Michezo

MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025

December 7, 2025
Michezo

Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

December 7, 2025
Michezo

Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara

December 7, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025
  • Matokeo ya Coastal Union Vs Yanga Sc Leo 7/12/2025 Ligi Kuu ya NBC Bara
  • Coastal Union Vs Yanga Leo 7 Dec 2025 Saa Ngapi?
  • Simba vs Azam Leo 07 December2025 Saa Ngapi?

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025618 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025374 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025306 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.