Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA

Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi?

Filed in Makala, Michezo by on January 2, 2025 0 Comments

Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 saa ngapi?, Mechi ya Yanga dhidi ya TP Mazembe ni saa ngapi?, Habari karibu katika kurasa hii fupi itakayoenda kukujibu swali lako la mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04 January 2025 itakua inachezwa saa ngapi?

Kama uko mtandaoni unatafuta kujua mchezo kati ya Yanga na Β  TP Mazembe wa michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika CAF utaanza mda gani basi kwenye kurasa hii utapata majibu yako. Leo 04 January 2025 Yanga inaikaribisha TP Mazembe Jijini Dar es Salaam Tanzania katika mchezo wa marudiano wa michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika.

Taarifa kamili Kuhusu Mechi ya Yanga vs Tp Mazembe

  • Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? #CAFCL
  • Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? Yanga Africans Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? TP Mazembe
  • πŸ“† 14.12.2024
  • Mechi ya Yanga SC vs TP Mazembe leo 04/01/ 2025 Saa Ngapi? Benjamini Mkapa
  • πŸ•– 4PmπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Mechi Iliyopita TP Mazembe vs Yanga

Mchezo uliopita ulifanyika 14 December 2024 ikiwa ni mechi ya mzunguko wa 3, mchezo huu ulifanyika Nchini DR Congo katika uwanja wa Stade TP Mazembe na matokeo yalikua sare ya goli moja kwa moja.

Msimamo wa Kundi A

Kwenye kundi A klabu ya Yanga iko katika nafasi ya 4 ikiwa na jumla ya pointi 1 imecheza michezo 3, huku ikiwa imepoteza michezo 2 na kutoa sare mchezo 1. TP Mazembe yenyewe iko katika nafasi ya 3 ikiwa na pointi 2, imecheza michezo 3, imepoteza mchezo 1 ma kutoa sare mchezo 1.

Kundi A kwenye michguano ya klabu Bingwa Afrika linaongozwa na Al-Hilal S.C. akiwa na pointi 9 akishinda michezo yote 3, huku nafasi ya pili kisikiliwa na MC Alger akiwa na pointi 4 kashinda mchezo 1, katoa sare mchezo 1 na kupoteza mchezo 1.

Nafasi ya Yanga kwenye mechi na TP Mazembe

Yanga itampasa atumie uwanja wake wa nyumbani vizuri na kupata matokeo ya pointi tatu ili kuinua matumaini ya kuendelea na mashindano ya klabu bingwa kwenye hatua ya robo fainali, kama Yanga itashinda mchezo huu itapanda hadi nafasi ya 2 hivyo kusubili michezo miwili ya wisho.

Mashabiki wengi wa klabu ya Yanga wanamatumanini makubwa sana juu ya ushindi wa mchezo huu kwani hivi karibuni kumekua na mwendelezo mzuri kwenye ligi kuu ya NBC kwani michezo 4 ya mwishini mwa mzunguko wa kwanza ameweza kushinda kwa ushindi mzuri huku wachezaji wakiwa na juhudi za hari ya juu.

Mapendekezo ya Mhariri;

Vituo vya TIKETI Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025 CAF

Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA

VIINGILIO Mechi ya Yanga vs TP Mazembe 04 January 2025

Ratiba ya Mechi za Liverpool Ligi Kuu ya Uingereza EPL 2024/2025

Msimamo Wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 Tanzania Bara

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
error: Content is protected !!