Wasailiwa wa kada zilizoorodheshwa kwenye viambatisho hapo chini wanatakiwa kuzingatia mchanganuo wa tarehe za usaili wa vitendo kama zilivyoainishwa.
MCHANGANUO wa Tarehe za Usaili wa Vitendo Kada Mbalimbali July 2025
Ili kuweza kusoma mchanganuo huo tafadhari bonyeza kwenye kila linki ya kada hapo chini
- MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO WA KADA YA TECHNICIAN CIVIL YA RUWASA
- MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA WASAILIWA WA KADA YA FUNDI SANIFU UJENZI II (TECHNICIAN CIVIL II) – WIZARA YA AFYA (1)
- MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA WASAILIWA WA KADA YA DEREVA DARAJA LA II MDAs & LGAs
- MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI WA VITENDO KWA WASAILIWA WA KADA YA AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) – MDAs & LGAs
- MCHANGANUO WA TAREHE YA USAILI KWA WASAILIWA WA KADA YA WATER TECHNICIAN II (HYDROGEOLOGIST) – RUWASA