MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
Leo tarehe 22 June 2025 tunaenda kushuhudia mchezo wa round ya 30 wa ligi kuu ya NBC mchezo utakaozikutanisha timu 2 kati ya Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji. Kisiwa24 Blog kupitia ukurasa huuu tutakuletea matukio na matokeo ya mchezo huu live hapa.
Unachotakiawa kufanya ni kutembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kuweza kutazama matokeo ya mchezo huu.
Malezo ya Mchezo
Ligi: Ligi kuu ya NBC
Mchecho: Mchezo wa Round ya 30
Timu: Yanga Sc vs Dodoma Jiji
Uwanja: New Amaan Stadium Zanzibar
Muda: 10:00 Jioni
MATOKEO Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025
Hapa chini ni matokeo ya mchezo wa Yanga vs Dodoma Jiji leo 22 June 2025.
Kipindi cha Kwanza
Yanga 0 – 0 Dodoma Jiji