MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni 18, 2025
Leo tunaenda kushuhudia mechi ya ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya Tanzania Prisons vs Yanga Sc ikiwa ni mchezobwa round ya 29.
Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog kwenye kurasa hii tutakuletea matokeo ya mchezo huu utakaopigwa kuanzia majira ya saa 10:00 za jion jijini Mbeya.
MATOKEO Yanga Sc vs Tanzania Prisons Leo Juni 18, 2025
Kipindi cha Kwanza
Tanazania Prisons 0 – O Yanga asc