TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025

Filed in Michezo by on January 3, 2025 0 Comments

Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025, Leo 04 January 2025 Yanga anaikaribisha klabu ya TP Mazembe kutokea DR Congo kwenye mchezo wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika Roundi ya 4.

Mchezo utafanyika majira ya saa 10:00 za jion katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Sisi kama Kisiwa24 tuko hapa kukusogezea matuio yote muhimu kuanzi kuanza kwa mchezo hadi kumalizika kwa mchezo huo.

Matokeo Ya Yanga SC vs TP Mazembe 04 January 2025

Hapa chini ni matokeo ya mechi ya Yanga dhidi ya TP Mazembe leo Jumamosi 2025

Kipindi cha Kwanza

Matokeo ya Kipindi cha Kwanza

Yanga 1

1 TP Mazembe

16 Dk – TP Mazembe wanapata Penati

32 Dk – Mzize

Kipindi Cha Pili

Matokeo ya Kipindi cha Kwanza

Yanga – 3

1 – TP Mazembe

Mchezo huu ni muhimu kwa timu zote mbili kwani Yanga ikpo kwenye nafasi ya 4 ikiwa na pointi 1 na TP Mazembe iko kwenye nafasi ya 3 ikiwa na pointi 2. Hivyo basi Yanga inahitaji kushinda mchezo huu ili kufufua matumaini ya kuendelea mbele zaidi kwenye michuano hii ya klabu bingwa Afrika

Matokeo ya mchezo huu  wa Yanga dhidi ya TP Mazembe 04 January 2025 tutayaweka hapa kwa kipindi cha kwanza na kipindi cha pli kuweza kutamatika. Usiache kufuatilia ukrasa huu kila wakati ili kuweza kuona matukio mbalimbali ya mchezo huu.

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *