MATOKEO Ya Simba Sc vs Singida Black Stars Leo 28 Mei 2025
Leo wanasoka tutashuhudia mchezo wa roundi ya 27 wa mzungunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kati ya Simba Sc vs Singida Black Stars.
Mchezo huu utapigwa katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Manyara kunzia majira ya saa 15:30 za jioni.Mchezo unaikutanisha miamba hii miwili huku mmoja akiwa katika nafasi ya 2 na mwingine katika nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara
Kuelekea mchezo huu Kisiwa24 tunaketea Live Matokeo ya mchezo huu utakaofanyika jijini Dar es Salaam katika uwanja wa KMC Complex uwanja wa nyumbani wa Simba Sc.
MATOKEO Ya Simba Sc vs Singida Black Stars Leo 28 Mei 2025
Hapa chini tutakuletea matukio yote ya mchezo Huu Mubashara Simba dhidi ya Singida Black Stars leo 28 Mei 2025 kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara.