WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2025

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

MATOKEO Ya Simba Sc vs RS Berkane 25 May 2025

Filed in Michezo by on May 23, 2025 0 Comments

Leo Tanzania na Afrika inaenda kupeleka umakini wake wote kwenye visiwa vya Zanzibar kushuhudia mchuano wa fainali ya pili ya kombe la shirikisho barani Afrika kati ya Simba Sc vs RS Berkane kwenye uwanja wa Amani Zanzibar.

Mchezo huu ni mchezo wa duru ya pili, huku mchezo wa kwanza uliochezwa mnamo tarehe 17 May 2025 nchini Morocco mechi iliyoisha wa RS Berkane kuibuka na ushindi wa magoli 2 – 0.

Kuelekea mchezo huu Kisiwa24 Blog tunakuletea LIVE Update ya matukio yote ya mchezo huu wa Fainali za CAF Confideration Cup kwenye Duru ya pili.

Mpenzi wa soka ili kupata kinachojili katika mchezo huu wa leo Simba vs Rs Berkane fainali ya pili ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confideration Cup Final 2nd leg) tafadhari tembelea kila dk page hii kwani Kisiwa24 Blog tutakua mubashara kukuhabarisha kila tukio.

Mchezo huu pia unaweza kuutazama live kupitia Azam 2 HD.

MATOKEO Ya Simba Sc vs RS Berkane 25 May 2025

Hapa chini ni live update za mchezo wa leo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup Final 2nd leg) kati ya Simba Sc vs RS Berkane mchezo unaochezwa katika uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

Kipindi Cha Kwanza

1″ Simba Sc 0 – 0 RS Berkane (Live kutoka uwanja wa Amani Stadium Zanzibar)

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *